Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
Wanatafuta huruma ya wananchi baada ya CHADEMA kufungiwa na kukamatwa wananchi wa kawaida hawana habari na siasa kabisaNaona ACT kama akili zimeanza kuwajia sasa
Wanatafuta huruma ya wananchi baada ya CHADEMA kufungiwa na kukamatwa wananchi wa kawaida hawana habari na siasa kabisaNaona ACT kama akili zimeanza kuwajia sasa
Kwani tunajadili nini hapa, au hukumbuki?Wapi nimetamka kuwa hiyo ndio hukumu yake?
Na kubinywa kende kisha kubakwa na kulawitiwa huku anapigwa picha mjongeo kwamba akifanya fyoko wanaenda kuonyeshwa watoto wake na mkewe alichokua anafanywa baba yaoHuyu akiendelea hivi hafiki 8 8 bila kutekwa
Bora kupigwa picha kuna kuuliwa kabisaNa kubinywa kende kisha kubakwa na kulawitiwa huku anapigwa picha mjongeo kwamba akifanya fyoko wanaenda kuonyeshwa watoto wake na mkewe alichokua anafanywa baba yao
Yaan unavunjwa goroli za pumbu huku unabakwa na kulawitiwa na kurekodiwa ili picha zikaonyeshwe mkeo na watoto wakoBora kupigwa picha kuna kuuliwa kabisa
Mboni umesahau kwamba .......Takataka ni lugha nzuri serikali ya sasa ni takataka!
wanaua
wanateka
wanabaka
wanapoteza
TAKATAKA RUBISH!
Matumizi ya LughaKwani tunajadili nini hapa, au hukumbuki?
Matumizi ya Lugha,ulimi.unaponzaga kichwa.Kama hayo maneno tu yanakuletea ukakasi,vipi wale ndugu wa watu wanaonajisiwa, kuteswa, kuondolewa utu au kuuwawa wanajisikia nini?
Ila kuua ni ustaarab?Lugha yake sio ya kistaarabu
Kuua sio tu kwamba ni kukosa ustaarabu, ni kukosa utu kabisaIla kuua ni ustaarab?
WoteKuua sio tu kwamba ni kukosa ustaarabu, ni kukosa utu kabisa
Je nani sasa ni takataka??? Serikali? Polisi? Muuaji? Rais? Bunge? Baraza la mawaziri, watendaji wa serikali?
Nendeni mkamzingireLugha yake sio ya kistaarabu
Basi tuna shida kubwaWote
I pity youNendeni mkamzingire
Wewe ndiyo unadefine namna hiyo. Tatizo ni lakoBasi tuna shida kubwa
Mtumishi wa umma, anayefanya kazi Kwa moyo wote kufundisha watoto wetu au kuokoa maisha hospitali au fundi umeme tanesco naye ni takataka?
Seriously?
Na matokeo ya "matumizi ya lugha" hiyo.Matumizi ya Lugha
dawa ni kutokushiriki uchaguzi tu mpaka watakapo rekebisha hayo mabadiliko ya katiba na kuwashinikiza polisi wawakamate wale wote walioshiriki vitendo vya utekaji na mauaji ya raia wanaokosoa!Aangalie asijefikishwa kwenye vyombo vya dola kwa lugha anayotumia ambayo si ya kistaarabu!