Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 2,567
- 10,909
Ustaarabu ni kuua raia unaotakiwa uwaongoze alafu watu wakikemea wanaitwa wachocheziLugha yake sio ya kistaarabu
Ustaarabu ni kuua raia unaotakiwa uwaongoze alafu watu wakikemea wanaitwa wachocheziLugha yake sio ya kistaarabu
Serikali ni takataka mara100000. Ukitaka aseme serikali inawajibika watu wanapotekwa na kupote wakati hakuna wanalofanya.Lugha yake sio ya kistaarabu
Yes ni kweli ni TAKATAKA, na wanaoongoza hiyo serikali wamejaa matope kichwani. Hivi serikali kutumia TISS inamchukua mwananchi asiye na hatia, wanamtesa, wanamtoboa macho na kumwagia Acid usoni na kumtupa msituni......Hiyo ndiyo mnasema ni serikali? Ninyi mnaotetea serikali hamjawahi kupoteza ndugu, wazazi au wapendwa wenu kwa kukamatwa na kuua na serikali. Waliona shida gani kumpeleka mahakamani kama ana kosa. Acheni ujinga ninyi.Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali inasema walioua ni watu wasiojulikana — hiyo ni Serikali au takataka?"
"Haijawahi kutokea duniani kote, kukawa na takataka iliyopata hadhi kuitwa Serikali kisha takataka hiyo ikatengeneza sheria safi za kuleta Serikali isiyotakataka."
Ht wajinyee jukwaani hao wapumbavu hawawezi kupata ht mbunge moja, sasa huyo si kavimbiwa uvundo?..watawala walitakiwa wajiulize kwanini vyama vya upinzani vinatumia lugha ngumu.
..kwa maoni yangu hizo lugha zinaelezea mateso na dhuluma wanayopitia wapinzani.
..Mjumbe[ally kibao] wa Kamati Kuu ya chama kuuwawa na maiti yake kutobolewa macho haliwezi kuwa jambo dogo kwa chama cha siasa.
..dhuluma hiyo, au zozote zinazofanana na hiyo, haiwezi kuzungumziwa kwa lugha lainilaini, au za bashasha.
..Watawala wajifunze, na wajisahihishe, badala ya kuwapingia waliodhulumiwa namna ya kulia na kulalamika.
Hee duu!! Kusha anza kuchangamka.... Amazing!?Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali inasema walioua ni watu wasiojulikana — hiyo ni Serikali au takataka?"
"Haijawahi kutokea duniani kote, kukawa na takataka iliyopata hadhi kuitwa Serikali kisha takataka hiyo ikatengeneza sheria safi za kuleta Serikali isiyotakataka."
Ustaarabu kwa wauwaji?Lugha yake sio ya kistaarabu
Serikali takataka ha ha ha ha haMakamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali inasema walioua ni watu wasiojulikana — hiyo ni Serikali au takataka?"
"Haijawahi kutokea duniani kote, kukawa na takataka iliyopata hadhi kuitwa Serikali kisha takataka hiyo ikatengeneza sheria safi za kuleta Serikali isiyotakataka."
Unaweza kukata tamaa kisa maisha yako yamekua magumu basi..kujikatia tamaa si ndio kuchoka kwenyewe?
Kuna mambo hayahitaji ustarabu kuyaelezeaLugha yake sio ya kistaarabu
Sasa hizi Kauli si ndio Huwa zinaleta ukakasi au?Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali inasema walioua ni watu wasiojulikana — hiyo ni Serikali au takataka?"
"Haijawahi kutokea duniani kote, kukawa na takataka iliyopata hadhi kuitwa Serikali kisha takataka hiyo ikatengeneza sheria safi za kuleta Serikali isiyotakataka."
Lakini wewe unafikiri watu wanaootea/kuuawa wanafanyiwa hivyo "kistaarabu"!Lugha yake sio ya kistaarabu
Kuua au kuteka siyo ustaarabu lakini it doesn’t make you a better person Kwa kutumia lugha zisizofaaLakini wewe unafikiri watu wanaootea/kuuawa wanafanyiwa hivyo "kistaarabu"!
Lakini niungane nawe hapa, kuuliza kama kweli huyu mtu karuhusiwa na chama chake kuyasema haya aliyosema kuhusu "serikali takataka" iliyoPo madarakani.
Bila lugha ngumu ni ngumu sana kuondoa takataka kwenye Vichwa vya Muafrika!Lugha yake sio ya kistaarabu
Na kusababisha hao wanaotekwa/kuuliwa?Sasa hizi Kauli si ndio Huwa zinaleta ukakasi au?
Hiyo ndio lugha sahihi kwa wakati tulionao.Lugha yake sio ya kistaarabu
Lugha ngumu haijawahi lupata mafanikio popote iwe Africa au nje ya africaBila lugha ngumu ni ngumu sana kuondoa takataka kwenye Vichwa vya Muafrika!
Kwani huwezi kosoa bila kudhalilisha utu na mamlaka ya Viongozi?Na kusababisha hao wanaotekwa/kuuliwa?