Unaweza kukata tamaa kisa maisha yako yamekua magumu basi
..Ni lugha ya mtu ambaye anaamini amedhulumiwa, ameonewa, hajatendewa haki.
..tusiwabeze wapinzani, bali tuangazie nini cha kufanya ili mitizamo na lugha zao ktk siasa iwe chanya, badala ya hasi.
..Tanzania ni yetu Sote. Kila mmoja wetu, bila kujali itikadi za vyama, anastahili kuishi kwa amani, na furaha.