Mchina atoa fake BMW makubwa haya!

Fake - Lexus LS 600 H Hybrid

Fake Details


Zote hizo juu ni FAKE Made in CHINA
 
Mchina mbona noma, japokuwa siku hizi viwanda vingi sana vinazalisha bidhaa zao China na kufanya simple renovation na kufanya ionekane kama fake products kutokana na utofauti huo.
 
kwani huyu jamaa watu hawaoni kile anachofanya!!?...maana si hapa Tanzania tu amekamata soko all over the world ulaya wanamjua huyu!!!
 
uzuri spea zinaingiliana, kwa iyo unanunua feki utakuwa unabadili na spea orijino
 
Hakuna hanayebisha hili,watu wanachoji ni patents rights za wavumbuzi zinakiukwa na kwa upande mwingine haki za walaji zinakiukwa pia!!
ikiwa hivyo yule aliyegundua gari la kwanza naye adai kwanini watu wametengeneza magari kumuiga,maana hii bmw na mengineyo ni mwendelezo wa ugunduzi wa gari la kwanza kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…