Mchina atoa fake BMW makubwa haya!

Mchina atoa fake BMW makubwa haya!

ikiwa hivyo yule aliyegundua gari la kwanza naye adai kwanini watu wametengeneza magari kumuiga,maana hii bmw na mengineyo ni mwendelezo wa ugunduzi wa gari la kwanza kabisa
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa walioweka haki miliki walikuwa hawana maana na walipoteza muda wao kufanya hivyo?
 
Wachina wanachofanya ni kutengeneza vitu kulingana na mahitaji ya mteja anavyotaka,ukitaka fake unapata,kwa sasa ndio wanaouza vitu vingi Amerika na Ulaya na vitu vyao vinakubalika ila kwetu Afrika kwa kuwa tumezoea vitu rahisi basi huletewa fake ambavyo havikidhi mahitaji yetu.
 
Mchina ana grade bwana,kuna mchina original na mchina fake!! Nenda ukaone bidhaa za mchina zinazoenda UK uzione kama original....
 
I can clearly see that the Chinese have a grand plan to assassinate Mr Patent

Heshima yako mkuu, yaani nimecheka karibu nife! Yaani dunia nzima inamlalamikia Mchina sijuhi kwa nini - Merikani inasema Wachina wanatumia patents zao bila ya kuomba kibari, lakini mbona Wajerumani walikuwa wanashirikiana na Wachina muda mrefu tu, tangu miaka ya hamsini na hatujawahi kusikia Wajerumani wakilalamikia. Wamerika na wenyewe hawako nyuma katika wizi wa tekinolojia, wamecopy copy mambo mengi kutoka kwa Warusi hasa hasa katika nyanja za ndege za kivita, Nuclear Submarine na Air Defence System.

Mbona Wachina na wao usema Wazungu waliwahibia ufundi wao wa ketengeneza: Gunpowder, Roketi, Canon, Compass, Abacus(Calcurator iliyo buniwa/kutumiwa na Wachina tangu enzi za 2nd BC mpaka leo! Inatumia hexadecimal na decimal numbers), si hilo tu Wachina vile ndio walikuwa wa kwanza kubuni uyeyushaji wa chuma na uchanganyaji wa madini kupata chuma cha pua (steel), Ship's Hull, Nguo za halili, modern karatasi (sio papyrus za Wamisri), printig press za kutumia mikono, vikombe na sahani za kaole, Chai (actually chai ni neno la Kichina lenye maana ya TEA kwa kingereza), ujenzi wa madaraja imara - the list is ENDLESS; kwa hiyo mchango wa wachina kwa maendeleo ya binadamu ni mkubwa sana lakini hilo hua alisemwi!!

Mkuu kwa kumalizia hebu soma post hii hapa chini - itakupa picha kamili Wachina walivyo moto wa kuotea mbali:

US Air Force using counterfeit Chinese parts.

Bootleg electronic components have found their way onto the US Air Force's aircraft. An investigation by the Congress has exposed counterfeit electronic parts being used by major aircraft corporations Boeing, Lockheed Martin and Sikorsky.
<script type="text/javascript"> function showFullDoc(link) { $(".more_link").hide(); $(".tail_text").html("<!--RTEditor:genereated--><!--RTEditor textarea-->*The two-year probe was conducted by the US Senate Armed Services Committee. Overall, 1,800 cases of counterfeit electronic parts being used have been exposed.

The Committee concluded that a huge number of fake electronic parts being used in the production of military aircraft, night vision devices, radio stations and GPS navigation modules pose a serious threat to national security.
Among others, the use of counterfeit electronic parts has been proven on the Alenia C-27J Spartan medium-sized military transport aircraft, Boeing's P-8A Poseidon long-range surveillance and reconnaissance aircraft, Lockheed Martin's turboprop military transport aircraft C-130J Super Hercules and Sikorsky's SH-60B Seahawk helicopter used by the US Navy.
About 70 per cent of the fake electronic microchips were traced as being produced in China; the rest came from Canada and Great Britain.
The investigation revealed a scheme whereby large-scale producers bought counterfeit electronic chips from subcontractors who have established links with pirates.
Electronic counterfeit is a multibillion business in China. This has led to counterfeit electronic parts flooding the market and being traded openly.
The American administration attempted to make Chinese authorities pay closer attention to the issue, but has failed so far. Still, Washington is not idle. On December 31, 2011 President Barack Obama signed the National Defense Authorization Act. This aims to prevent counterfeit electronic components from flooding the US and its armed forces.
The US Senate Armed Services Committee report says the use of electronic devices not only endangers those servicemen using them, but in the end leads to higher budgetary expenditure. The unfolding scandal threatens the Pentagon with a real crisis, undermining plans to considerably cut military expenditure in the following 10 years.
<!--/RTEditor textarea-->"); $(".tail_text").show(500); return false; } </script> <!--RTEditor:genereated--><!--RTEditor textarea-->*The two-year probe was conducted by the US Senate Armed Services Committee. Overall, 1,800 cases of counterfeit electronic parts being used have been exposed.

The Committee concluded that a huge number of fake electronic parts being used in the production of military aircraft, night vision devices, radio stations and GPS navigation modules pose a serious threat to national security.

Among others,the use of counterfeit electronic parts has been proven on the Alenia C-27J Spartan medium-sized military transport aircraft, Boeing's P-8A Poseidon long-range surveillance and reconnaissance aircraft, Lockheed Martin's turboprop military transport aircraft C-130J Super Hercules and Sikorsky's SH-60B Seahawk helicopter used by the US Navy.


About 70 per cent of the fake electronic microchips were traced as being produced in China; the rest came from Canada and Great Britain.


The investigation revealed a scheme whereby large-scale producers bought counterfeit electronic chips from subcontractors who have established links with pirates.


Electronic counterfeit is a multibillion business in China. This has led to counterfeit electronic parts flooding the market and being traded openly.


The American administration attempted to make Chinese authorities pay closer attention to the issue, but has failed so far. Still, Washington is not idle. On December 31, 2011 President Barack Obama signed the National Defense Authorization Act. This aims to prevent counterfeit electronic components from flooding the US and its armed forces.

The US Senate Armed Services Committee report says the use of electronic devices not only endangers those servicemen using them, but in the end leads to higher budgetary expenditure. The unfolding scandal threatens the Pentagon with a real crisis, undermining plans to considerably cut military expenditure in the following 10 years.

My take: Nani wa kulahumiwa - Wachina au Wazungu wenyewe wanao wapelekea sampuri za vipuri ili vifyatuliwe huko huko UCHINA na kula pesa alafu na wao wanabaki na michoro ya vipuri ili baadae na wao wahunde ndege za kwao, hii inaonyesha Wamerika wanakubali uwezo mkubwa wa wachina si rahisi nchi kama Merikani kukubali na kuamini/kutumia vipuri kutoka uchina kwenye vitu sensitive vya usaalama/ kijeshi e.g ndege!
 
Hureeeee! Na sisi makapuku sasa tutaendesha bima na hummer! Mi nasubiri yajazwe sokoni.. tutauziwa dola 1000.
 
Mie naona picha zote ni sawa tofauti niliyoiona ni rim, rangi tofauti nyingine ni kwenye taa za hammer la ungeweka dashboard tuonetofauti, vingine zaweza kuwa zote ni OG tofauti viwanda tu.
 
Feki kwa vile magari haya sasa yanatengenezwa under license nchini china kama ilivyo kwa baadhi ya magari nchini Afrika ya Kusini au feki feki?
 
kwahiyo lakichina spea ikiaribika unaweza kufunga ya orijino?
 
Magari yapo under License. Sasa yatakuwaje Feki???? Au atujui maana ya UNDER LICENSE!!??
 
Siku wakitoa dem fake mniambie...[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom