Hakuna hanayebisha hili,watu wanachoji ni patents rights za wavumbuzi zinakiukwa na kwa upande mwingine haki za walaji zinakiukwa pia!!pigeni porojo mchina anapaa huyooooo.
Huoni itakuwa sawa na kununua gari jipya ambalo ni original!!uzuri spea zinaingiliana, kwa iyo unanunua feki utakuwa unabadili na spea orijino
ikiwa hivyo yule aliyegundua gari la kwanza naye adai kwanini watu wametengeneza magari kumuiga,maana hii bmw na mengineyo ni mwendelezo wa ugunduzi wa gari la kwanza kabisaHakuna hanayebisha hili,watu wanachoji ni patents rights za wavumbuzi zinakiukwa na kwa upande mwingine haki za walaji zinakiukwa pia!!