Mchina atoa fake BMW makubwa haya!

Mchina atoa fake BMW makubwa haya!

Mi naomba tuu mchina apindue soko la magari africa kama alivyopindua kwenye pikipiki.twende sawa ya mchina bei cheap mafuta lita moja km 40. vipuri vya kutosha durability iko njema kias chake siku hizi pikipiki ya japan ni ya kutafuta kwa tochi
 
FAKE BMW MADE IN CHINA
bmw_e60_m5-51_Kopie.jpg


ORIGINAL BMW HII HAPA CHINI

bmw_e60_m5-51fuig.jpg
Tofauti nionayo hilo la kichina unapitia dirishani, maana sioni vitasa vya milango
 
Back
Top Bottom