Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
aisee mie mniwekee cha marehemu k ile jack daniel
Usitutafutie kesi...na hivyo una uchungu wa kushindwa usije ukaanzisha vurugu tukakusukuma kidogo..ukarudisha nambaa kwa Sir God...
Hapa vinywaji ni maji, togwaa na juisi.....sawa?