Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

Zawadi ya ushindi
 
Attachments

  • 1414872440202.jpg
    1414872440202.jpg
    145 KB · Views: 70
Maneno machache ya ushindi......

Mabibi na Mabwana

Kwa niaba ya team Ke....tumeupokea kwa furaha ushindi huu mnono dhidi ya team Me, kwa kweli mechi ilikuwa ngumu na yenye changamoto nyingi.....tulikutana na changamoto kama vile majeruhi (ilitokana na kugongana kwa comments) Chenga kali toka kwa timu pinzani, na hata kupigwa mitama......ila tulipambana kikikee na juhudi hazikutuangusha, tumeibuka washindi....!

Mabibi na mabwana ushindi huu usingepatikana bila ya ushirikiano ulioonyeshwa na team ke....kwa kweli timu ilikuwa na ushirikiano....
Hivyo napenda kutambua mchango wa team Ke wote katika ushindi huu....
Hata hivyo ntakuwa mchoyo wa fadhila nisipotambua mchango adhimu wa super Striker Khantwe....kwa kweli alidhibiti rafu za timu pinzani.

Pia nitambue mchango wa kipekee wa beki machachari Dinazarde...hiki kipaji nilikigundua mwenyewe kule umbeani.....na hajaniangusha.....
Mchango wa jakitoo Angelicious na stwita katika umaliziaji sio wa kusahaulika....

Pia mchango adhimu wa Honey Faith, dalaber, Heaven Sent, brenda18 miss chagga (ingawa alianza kuuliza zawadi kabla ya kuvaa jezi) na wengine ambao sijawataja hapa umesaidia kutufanya washindi na mamalkia wa usiku huu.........

Kwa kweli mpambano ulikuwa na changamoto nyingi ila ntakuwa sijatenda haki kama sitoishukuru team Me.. Shark ulijitahidi ila bahati haikuwa upande wenu.. Shakir pia ulijitahidi kuchelewesha ushindi....ila kama ipo ipo tu.....!

Mwisho nimshukuru muandaaji wa shindano hili Mr. BK......tunakushukuru sana na zawadi tunaitaka...

Asanteni.........

Kim nana
 
Last edited by a moderator:
No,

It is unfair, na hata Shark aliliona hili. Mtakujaje watatu watatu against mmoja??
Mtu kama Khantwe, Kim nana, Dinazarde, jakito na Wengineo walikua wakishinda hapa 24hrs.

Katiba mpya ikataze hili swala, ni kinyume na haki za binadamu. Na ikiwezekana iundwe tume huru kuchunguza uchakachuaji uliotokea hapa.

Nilijitahidi kumsaidia Shark baada ya kuni-tag but bahati haikua yetu.
 
Jamaniiii sasa ulitaka wawe wangapiii hhhhhaaaaa anzisheni gemu nyingine tushindaneee msilalame watoto wa kiume
Nawe ungeita wenzio tuuu mbona Shark alikuitaa
 
Last edited by a moderator:
Maneno machache ya ushindi......

Mabibi na Mabwana

Kwa niaba ya team Ke....tumeupokea kwa furaha ushindi huu mnono dhidi ya team Me, kwa kweli mechi ilikuwa ngumu na yenye changamoto nyingi.....tulikutana na changamoto kama vile majeruhi (ilitokana na kugongana kwa comments) Chenga kali toka kwa timu pinzani, na hata kupigwa mitama......ila tulipambana kikikee na juhudi hazikutuangusha, tumeibuka washindi....!

Mabibi na mabwana ushindi huu usingepatikana bila ya ushirikiano ulioonyeshwa na team ke....kwa kweli timu ilikuwa na ushirikiano....
Hivyo napenda kutambua mchango wa team Ke wote katika ushindi huu....
Hata hivyo ntakuwa mchoyo wa fadhila nisipotambua mchango adhimu wa super Striker Khantwe....kwa kweli alidhibiti rafu za timu pinzani.

Pia nitambue mchango wa kipekee wa beki machachari Dinazarde...hiki kipaji nilikigundua mwenyewe kule umbeani.....na hajaniangusha.....
Mchango wa jakitoo Angelicious na stwita katika umaliziaji sio wa kusahaulika....

Pia mchango adhimu wa Honey Faith, dalaber, Heaven Sent, brenda18 miss chagga (ingawa alianza kuuliza zawadi kabla ya kuvaa jezi) na wengine ambao sijawataja hapa umesaidia kutufanya washindi na mamalkia wa usiku huu.........

Kwa kweli mpambano ulikuwa na changamoto nyingi ila ntakuwa sijatenda haki kama sitoishukuru team Me.. Shark ulijitahidi ila bahati haikuwa upande wenu.. Shakir pia ulijitahidi kuchelewesha ushindi....ila kama ipo ipo tu.....!

Mwisho nimshukuru muandaaji wa shindano hili Mr. BK......tunakushukuru sana na zawadi tunaitaka...

Asanteni.........

Kim nana

Haaaaaaaaaaaaaaaa, mlijipanga sio bure....heeeeee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom