Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,006
- 72,305
Haaaaaaaaaaaaaaaa, mlijipanga sio bure....heeeeee
Zawad yetuuu
Haaaaaaaaaaaaaaaa, mlijipanga sio bure....heeeeee
Napitia kwanza kuona kama hamkucheza faulo na rough......
Haaaaaaaaaaaaaaaa, mlijipanga sio bure....heeeeee
Weeeee uzi mrefu potezeaa banaaaa
Mr. BK usipotezee,
Kuna ushahidi walikua wakiruka namba mbili mbili!!
Huu ushindi umechakachuliwa. Next time ili akidi ya ushindi itimie lazima kuwe na 2/3 ya walioridhia kutoka kila upande.
Pia ijulikane wachezaji ni wangapi!! Katiba pendekezwa ya Jaji Warioba ilitaja haya yote, lakini wao wameichakachua na kuondoa hivi vipengele muhimu!!
Asiyekubali kushindwa si mshindani bwanaaa....
Na mkipinga ushindi wetu...tutaingia msituni........
Asiyekubali kushindwa si mshindani bwanaaa....
Na mkipinga ushindi wetu...tutaingia msituni........
Natumia nafasi hii kuwashukuru kwa kunipa support katika mchezo huu, ni dhahiri kuwa tumeburudika na tumeutumia mchezo kuleta upendo na amani baina yetu...
Kama ilivyo kawaida, ushindi ni ushindi tu hata uwe umepatikana kwa kurusha shilingi.
Nichukue fursa hii kuipongeza timu KE na hasa wawakilishi wa hiyo timu kama Dinazarde, Kim nana, Khantwe na wengineo.
Mchango wenu ndio ushindi wa timu yenu
Nitoe pole kwa timu ME. mchezo ulikuwa mwepesi ila tumeucheza kiblaza men sana tukajikuta tunapiga droo 6 mfululizo kama Simba club, next time tujitahidi.
Hawa wenzetu wametushinda humu hapakaliki...videdea tuuu!!
Haaaaaaaaa, najisikia furaha kuwatangaza ni washindi pia nasikitika kutangaza kuwa tumeshindwa.
Mwisho wa game hii ndo mwanzo wa game nyingine I hope we (Me) will take over......
Maneno machache ya ushindi......
Mabibi na Mabwana
Kwa niaba ya team Ke....tumeupokea kwa furaha ushindi huu mnono dhidi ya team Me, kwa kweli mechi ilikuwa ngumu na yenye changamoto nyingi.....tulikutana na changamoto kama vile majeruhi (ilitokana na kugongana kwa comments) Chenga kali toka kwa timu pinzani, na hata kupigwa mitama......ila tulipambana kikikee na juhudi hazikutuangusha, tumeibuka washindi....!
Mabibi na mabwana ushindi huu usingepatikana bila ya ushirikiano ulioonyeshwa na team ke....kwa kweli timu ilikuwa na ushirikiano....
Hivyo napenda kutambua mchango wa team Ke wote katika ushindi huu....
Hata hivyo ntakuwa mchoyo wa fadhila nisipotambua mchango adhimu wa super Striker Khantwe....kwa kweli alidhibiti rafu za timu pinzani.
Pia nitambue mchango wa kipekee wa beki machachari Dinazarde...hiki kipaji nilikigundua mwenyewe kule umbeani.....na hajaniangusha.....
Mchango wa jakitoo Angelicious na stwita katika umaliziaji sio wa kusahaulika....
Pia mchango adhimu wa Honey Faith, dalaber, Heaven Sent, brenda18 miss chagga (ingawa alianza kuuliza zawadi kabla ya kuvaa jezi) na wengine ambao sijawataja hapa umesaidia kutufanya washindi na mamalkia wa usiku huu.........
Kwa kweli mpambano ulikuwa na changamoto nyingi ila ntakuwa sijatenda haki kama sitoishukuru team Me.. Shark ulijitahidi ila bahati haikuwa upande wenu.. Shakir pia ulijitahidi kuchelewesha ushindi....ila kama ipo ipo tu.....!
Mwisho nimshukuru muandaaji wa shindano hili Mr. BK......tunakushukuru sana na zawadi tunaitaka...
Asanteni.........
Kim nana
Kimnana una shidaaah....kwanza mchezo wenyewe mlikuwa mkicheza kwa kuvizia yaani mnacheza ucku wa manane kiasi kwamba binadamu wote tunakuwa tumelala.....loooooo. Nawapongeza kutumia ujuzi kuchakachua
Hamkosi visingizio.....mwingine kasema et tulikuwa tunashinda hapa 24 hrs khaa ina maana hata kulala tulikuwa hatulali? We umekuja et tulikuwa tunavizia usiku wa manane....
Ndo tushashinda tena...wao hawajioni walivyokuwa wanaongiza mamluki...hadi team lumumba ilitwa....mchezo....
Tunataka zawadi yetu.....
dih hii soo nlikua nimezidiwa na mambo flani ndo maana mkatupita. hao timu lumumba wachoyo hamna hata mmoja aliekuja maana wamezoea buku saba akati mimi nisingewapa kitu ndo maana hayakuja ila hongereni sana
Haaaaa sikuwezi....na mi nakaribishwa kula huo wali mweusi?
Hhheeeeee pilau oyeeeeeeeee
Oyeeee....leo tile hadi tivimbiweee....