Mchezaji wa zamani timu ya ARSENAL na taifa la UFARANSA PATRIC VIEIRA asilimu na kuwa muislami...... TAKBIRRRR

hata mimi ntakuja kusilimu ili tu nioe wake wa 4

kila mmoja ana sababu yake ya kusilimu yaweza kuwa mapenzi, ahadi ya vinono, wake wa 4, kumiliki mali na mengineyo

Hapo kwa wake wa nne tupo pamoja mkuu plus zile ahadi za pepo juu ya wanawake wazuri tutakao pata hua zina nikosha moyo sana.
 
Vieira huyu mabosi wake waarabu na waarabu kuweka mzigo wa hela ili tuu uhamie dini yao au hawaoni tabu,angalia wafanya kazi hata wa ndani wanaofanya kazi kwa waarabu watakapoishia wapo radhi hata wakusomee Dua Kali ili ubadili dini ili waone ufahari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwa wake wa nne tupo pamoja mkuu plus zile ahadi za pepo juu ya wanawake wazuri tutakao pata hua zina nikosha moyo sana.
Umeona eenh. Uislam raha, siyo huko mpaka Duterte anawaambia muwaoe wachungaji wenu maana wasenge wamezidi kanisani, halafu ndiyo eti maaskofu na mapadri. Khaa!
 
Umeona eenh. Uislam raha, siyo huko mpaka Duterte anawaambia muwaoe wachungaji wenu maana wasenge wamezidi kanisani, halafu ndiyo eti maaskofu na mapadri. Khaa!

Uislam kwakweli ni reality. Nimeona na hii kutoka thread ya mwana Jf leo. Faiza hapa vipi? Will you protest ??
IMG_1334.JPG
 
Hilo unalihisi wewe na wala sio mimi....

Anisaidie kwenye kitu gani hasa mkuu?

Sijawahi muona akisaidia lolote whatsoever!

Every act au phenomenon in this world and universe in general has an explanation,there's no such thing as God's intervention!NEVER!
Aiseee...so sadness to hear something like that, and still suddenly once an accident happens wherever you are, you must call God's name to gate his assistance.
Isn't it or it's truthful? Shame on you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods kama vipi pelekeni jukwaa la dini hizi takataka haya mambo ni tofauti kabisa na sisi tunaoshinda uku jukwaa la michezo.
 
Mods kama vipi pelekeni jukwaa la dini hizi takataka haya mambo ni tofauti kabisa na sisi tunaoshinda uku jukwaa la michezo.
Here, kwani si habari za wachezaji maarufu duniani? Hawa umewaona...

Umeona eenh. Uislam raha, siyo huko mpaka Duterte anawaambia muwaoe wachungaji wenu maana wasenge wamezidi kanisani, halafu ndiyo eti maaskofu na mapadri. Khaa!

Sasa dada Faiza,mimi na wewe as human beings wa leo tunaweza-agree na kufikia conclusion kwamba Mohamed angekua ni paedophile kwa kuoa a 9-year old child today!

Can we reach that conclusion if he does that today 2019?

Right?
 
Fungulia uzi wako, mada hapa...

Yaani Faiza kwa kukimbia maswali hujambo!

Wewe umeulizwa as civilized 21st century human beings kama Mtume Mohamedi angeoa a 9year old child leo tungeweza kusema kwa ufasaha kabisa kua yeye ni paedophile?

Jibu hilo swali ili nijue kweli wewe morally umekaa wapi maana una vituko sana!
 
Back
Top Bottom