Mchezaji wa zamani timu ya ARSENAL na taifa la UFARANSA PATRIC VIEIRA asilimu na kuwa muislami...... TAKBIRRRR

Majid Freeman @ Majstar7
#FakeNews: Patrick Vieira did NOT become Muslim May Allah guide him & bless the bro who became Muslim. Please verify news before sharing 😊✌🏽 pic.twitter.com/7xjv26Ux1j
2:18 PM - 26 Feb 2017
 
hata mimi ntakuja kusilimu ili tu nioe wake wa 4

SAMAHANI LAKINI WAJAMENI.

Kwa mawazo yangu ukiona hivyo ina toa tafsiri dini ya kiislamu ni raisi raisi. Ukitaka mke, ukitaka kula matango huko ahera, ukitaka kuwa na mke ahera mwenye macho makubwa makubwa yote kwenye uislamu!
 
Hapo kwa wake wa nne tupo pamoja mkuu plus zile ahadi za pepo juu ya wanawake wazuri tutakao pata hua zina nikosha moyo sana.
Hili jambo kila mwanaume analipenda ndo maana hata Emanuel naye yasemekana alizaa na Magdalena mtoto wa Kiume.Nadhani kungekuwa na uthibitisho wanaume wote tungekuwa waislam,automatically Dunia nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Michael Jackson mlisema hajawa Muislam. Ndiyo zenu hizo...

Nyingine hii
Screenshot_20190112-150738.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Michael Jackson mlisema hajawa Muislam. Ndiyo zenu hizo...

nakumbuka Mazishi ya Michael yaliendeshwa na Reverend kwenye uwanja wa Stample Centre

*halafu bibi nikuibie siri...wanafichaga tu.. yaani wagalatia sio kwa kweli,acha tu..ni hivii hata trump kaslim halafu amejenga msikti whitehouse;hii bado ni siri.!

'Kim jong wa N.Korea,put in wa urusi,na yule malkia sasa wanatumia sheria kuongoza nchi zao...kama kule arabuniii'

'na kubwa zaidi Sheikh Ponda ule mwezi Shabani aliitwa vatikani kums limisha yule raisi wao'

bibi kwetu rahaa wanafichaga tu,usiwasimulie wajukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa....mume subiri amepata post career depression mkamkimbilia!

Dini ni ma-opportunists!

JF naona mnaendeleza unafiki wenu....

Mume-edit my original comment mmeacha the sentences that please your eyes!

Yaani JF bwana,mnaboa sana!

Kwao wao uhuru wa maoni ni maoni yanayowapendeza wao tu,yanayowachukiza sio uhuru wa maoni!

Atleast mngewasiliana na mimi mkanipa hoja yenu ni-delete mwenyewe kwa utashi wangu kwa kua pursuaded na counter hoja zenu!

Nyie ni futa futa limited!

Hii dunia tumeumbwa na unafiki,ila unafiki wa JF ni wa some next level shit!
 
Huwa nawashangaa sana mtu akisilim kuwa muislamu yaani kwa wengine huwa ni habari kubwa sana!
Kuweni makini sana na wahamiaji kuna uwezekano mwisho wa siku wakarejea walikotoka!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu nzuri sana hiyo kwani utakuwa umesilimu na umejisitiri nq zinaa na umesitiri wanawake wanne.

Tunakutakia kila la heri na usisilimu kwa kushinikizwa ila kwa sababu zako mwenyewe, zozote zile.
@FaizaFoxy mimi nataka nisilimu ili tuanze kupeana vinono nikisitiri mtoto wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa watakaomuamini yeye
Na wanao Amini vingine hawatapiga ng'oooo
Yeye mwenyewe alipiga goti kwa Mungu
Mpigieni Mungu goti


Sent using Jamii Forums mobile app
Watasilimu wengi maanake huko walipo wameruhusu ushoga na usagaji juzi Raisi wa Philippines kamuomba papa awasitiri mapadre na makasisi wengi ni mashoga wenyewe kwa wenyewe wengine ni vitoto vya kwaya yaaani kumejaa uchafu mtupu ushoga, usagaji, kutembea uchi,zinaa mapicha ya ngono kila kitu kwao rukhsa!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom