Mchezaji wa zamani timu ya ARSENAL na taifa la UFARANSA PATRIC VIEIRA asilimu na kuwa muislami...... TAKBIRRRR

Ukristo sio jina, kuna kina John wengi tu ambao ni wapagani kama kulivyo na kina Rashida walio Wakristo. Mtu akitaka uthibitisho wa hili aende Google awatafute Nabeel Quresh, Basuki Abdullah, Ibrahim Abdullah, Saeed Abedini na Taysir Abu Saada.
Point yako ni nini hapa?
 
Waarabu Hutumia njia mbili kuwavuta wakristo.1. Ela nyingi 2 . Wanawake wa kiislamu. Hii njia namba moja matajiri wa Saudi Arabia , uae , Qatar wanaitumia sana kwa watu maarufu .
Njia namba mbili inatumika maeneo yote yenye uislamu ulioshamiri hasa afrika kaskazini, mashariki ya Kati na Asia . Wanawake wa kiislamu watawavuta wanaume wa kikristo na uki fall in love watakuambia badilisha dini .
 
Ukristo sio jina, kuna kina John wengi tu ambao ni wapagani kama kulivyo na kina Rashida walio Wakristo. Mtu akitaka uthibitisho wa hili aende Google awatafute Nabeel Quresh, Basuki Abdullah, Ibrahim Abdullah, Saeed Abedini na Taysir Abu Saada.
Ila bibi kachemka, huyo sio Viera.
 
Kama mungu yupo dhambi kubwa itawapata wale wanaoabudi dini za mapokeo uislamu na ukristo na kuacha kuabudu dini zao za asili ya mababu zao ambazo hizo dini za asili zimewakuta wakiabudu, hivi wewe mtu mweusi unaonaje ufahari wa kuitwa suleimani au Emmanuel. Fatuma au Esther, wenye dini wenye hawako sana kwenye dini kama wapokeaji hasa wa kiafrika,nenda uarabuni kaone wanavyoishi kama wazungu, nyumba nzuri, magari mapya ,mazuri, barabara za kisasa,watu wanavaa nguo mpya, wanajali sana kusomesha watoto shule
 
Sawa ustadhi faiza fox uislam unakuwa kwa kasi sana kufika 2025 dunia nzima tutakuwa waislam
 
Na mimi nataman kuwa Muislamu.
Napenda vile mabinti wanavojisitiri na hijabu wanapendeza.
Changamoto ni Baba Debo tu.
Kwani umeambiwa lini au imeandikwa wapi kwenye bible kuwa ukiwa mkristo usiwe unajistiri?
.
Sema napenda baadhi ya mabinti/wanawake wanavyojisitiri kwa sababu hata Faiza ally ni muislamu ila mkaa uchi mzuri
 
Naam kiungo wetu mahiri kabisa kuwahi kutokea pale arsenal japo nilikua namshabikia toka zaman Alhamdulillah
 
Mungu akusaidie mkuu, najua unajua yupo, sababu ya kutomuona sio kigezo cha kuamini ha-exist.

Hilo unalihisi wewe na wala sio mimi....

Anisaidie kwenye kitu gani hasa mkuu?

Sijawahi muona akisaidia lolote whatsoever!

Every act au phenomenon in this world and universe in general has an explanation,there's no such thing as God's intervention!NEVER!
 
Back
Top Bottom