Cha kushangaza na yeye anajiita mwanaume.Mkitungaga ma uzi kama haya huwa mnanufaika na nini hivi?
Yaani mchepuko anamcheka mchepuko!Na yeye amekutafuta kama mchepuko wake
Msamilie sana yule ex mchep wako wa kufa na kuzikana๐๐๐๐๐๐!
Mbona sinaga ex... Bado sijazika mtu...Msamilie sana yule ex mchep wako wa kufa na kuzikana๐๐๐๐๐๐!