Ni wiki moja tu toka aolewe, mchepuko wangu anajuta. Halaaaa

Ni wiki moja tu toka aolewe, mchepuko wangu anajuta. Halaaaa

Sheffer95

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
277
Reaction score
785
Nadhani Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa matapeli wengi wa mapenzi duniani, huwezi amini mchepuko wangu aliamua kwenda kuolewa na jamaa eti kisa mimi nina familia na nilimwambia siwezi kumuoa

Ananipigia simu analia sana kwamba kumbe huyu mmewe mpya ana watoto wa 4 kwa wanawake wa 4 tofauti. Sasa toka wamejua jamaa kaoa basi ni balaa tu wanampigia simu na kumtukana. Ingawa kabla ya kuoa jamaa alisema hana mke wala watoto.

Halaaa wacha iwake🔥🔥🔥🔥
Mimi kama Chama tu, nasubiri mipira iliyokufa niifufue🔥🔥🔥🔥🍌🍌
 
Back
Top Bottom