Mchepuko oyeee!

Mchepuko oyeee!

Aisee!!!!! Na hifadhi huu ushauri for future use
Yes mzee, nimetembea kidogo barabara ya Mbezi-Goba, katikati hapo kuna lodges za midrange (sio za gharama kubwa), yaani chumba cha 25,000 kina kila kitu. Mtu ana vyumba kumi na watumiaji sio watu wa kulala.

Inalipa mkuu.
 
Screenshot_20191203-144705-picsay.jpeg
 
Yeah nikweli kabisa unacho kisema....
Yes mzee, nimetembea kidogo barabara ya Mbezi-Goba, katikati hapo kuna lodges za midrange (sio za gharama kubwa), yaani chumba cha 25,000 kina kila kitu. Mtu ana vyumba kumi na watumiaji sio watu wa kulala.

Inalipa mkuu.
 
😂😂😂😂 Yaani ukisoma reaction ya wadau kwenye uzi wa "Kujilia tunda kimasihara" kisha uje usome hapa ni maajabu matupu. Tatizo hapa
kakiri kwamba anaburudika kuchepuka na mume wa mtu. Ila kuna wadau wanapata burudani kujisifu wana"piga" wake za watu na hawashambuliwi kama ilivyo kwa Dagaa. Ukimwi upo na unaua
 
Habari wanajamvi,

Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua.

Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na sitegemei kumwacha. Na naweza sema jamani michepuko inaimarisha kutunza ndoa ukiwa na mchepuko wako ukakupenda na mkaheshimiana na mkawekeana misingi yenu, wacha niendelee kusema michepuko hoyee.

Sitaki ushauri wenu wa hoo sijui maradhi yapo, jibu ni kwamba tuko makini na mchepuko wangu kuliko mjuavyo, na ananikuna haswaa na ananijali sana.

Ila swali moja la kizushi, kwanini wanaume mlioko kwenye ndoa mkiwa kwenye sita kwa sita amuwapi mashamsham wake zenu ila mkitoka nje mnaonyesha ufundi ambao hamuwapi wake zenu? Hata mimi nina imani huyu mume wa mtu niliye nae ananipa mashamsham kama yote ila najua kwa mkewe atakuwa anampapasa.

Kwakweli mimi sijutii, na kama dhambi nimeshatubu sababu hata Mungu naye ni shahidi anaona ninachopata.

Wale wote wenye bibi wa kando na babu wa kando tuseme hoyeeeee.

Kwa kumalizia nasema hivi: Mchepuko wangu nampenda sana na na mume wangu nampenda na ndoa yangu siachi na yule naye namshauri sana asimwache mkewe, sisi tupo kwa ajili ya kurutubisha ndoa zetu na kujenga.

Karibuni.
Take this shit to the mansion niggar
 
Haya mambo haya,kwa hiyo unanyonya mbo-o mbili kwa siku na mume wako unampa romance kama kawaida...\
tena yawezekana mchepuko anakojelea mdomoni woiiiiiii... ..... Mgoja nitafte mnyonge wangu nimgonge na mimi
 
Kwa hiyo Laazizi wangu nyonga mkalia ini ndyo umeamua kuja kunitangaza huku...mimi huwa najitahdi kukukuna vzr ili uridhike lkn,kama umeshaanza kuja kunitangaza basi nitapunguza maufundi

Mpango wa kando noma sana!
 
Habari wanajamvi,

Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua.

Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na sitegemei kumwacha. Na naweza sema jamani michepuko inaimarisha kutunza ndoa ukiwa na mchepuko wako ukakupenda na mkaheshimiana na mkawekeana misingi yenu, wacha niendelee kusema michepuko hoyee.

Sitaki ushauri wenu wa hoo sijui maradhi yapo, jibu ni kwamba tuko makini na mchepuko wangu kuliko mjuavyo, na ananikuna haswaa na ananijali sana.

Ila swali moja la kizushi, kwanini wanaume mlioko kwenye ndoa mkiwa kwenye sita kwa sita amuwapi mashamsham wake zenu ila mkitoka nje mnaonyesha ufundi ambao hamuwapi wake zenu? Hata mimi nina imani huyu mume wa mtu niliye nae ananipa mashamsham kama yote ila najua kwa mkewe atakuwa anampapasa.

Kwakweli mimi sijutii, na kama dhambi nimeshatubu sababu hata Mungu naye ni shahidi anaona ninachopata.

Wale wote wenye bibi wa kando na babu wa kando tuseme hoyeeeee.

Kwa kumalizia nasema hivi: Mchepuko wangu nampenda sana na na mume wangu nampenda na ndoa yangu siachi na yule naye namshauri sana asimwache mkewe, sisi tupo kwa ajili ya kurutubisha ndoa zetu na kujenga.

Karibuni.
Endelea kumzalia mumeo watoto ambao kiuasilia sio wake- Mbele za Mungu starehe zako zote zitageuka kuwa kaa la moto lisilozimika.
 
Back
Top Bottom