Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Unasema mko makini na mchepuko wako kuhusu maradhi?lakini unakubali kwa mkewe hafanyi kama anavyofanya kwako?na mkewe akiwa na mchepuko wake wa kumkuna kwa siri?na huo mchepuko wa mkewe nao kama una mke ambae nae ana mchepuko?bado sijamzungumzia mumeo na mchepuko wake na mchepuko wa mchepuko wa mumeo
Kweli wewe dagaaHabari wanajamvi,
Wacha niende moja kwa moja kwenye hoja. Mimi ni mke wa mtu nina miaka kadhaa kwenye ndoa zaidi ya kumi, namuheshimu mume wangu na nampenda sana pamoja na watoto wetu, naye analitambua.
Huu ni mwaka wa sita sasa niko na mchepuko wangu na mchepuko wangu naye ni mume wa mtu, na sitegemei kumwacha. Na naweza sema jamani michepuko inaimarisha kutunza ndoa ukiwa na mchepuko wako ukakupenda na mkaheshimiana na mkawekeana misingi yenu, wacha niendelee kusema michepuko hoyee.
Sitaki ushauri wenu wa hoo sijui maradhi yapo, jibu ni kwamba tuko makini na mchepuko wangu kuliko mjuavyo, na ananikuna haswaa na ananijali sana.
Ila swali moja la kizushi, kwanini wanaume mlioko kwenye ndoa mkiwa kwenye sita kwa sita amuwapi mashamsham wake zenu ila mkitoka nje mnaonyesha ufundi ambao hamuwapi wake zenu? Hata mimi nina imani huyu mume wa mtu niliye nae ananipa mashamsham kama yote ila najua kwa mkewe atakuwa anampapasa.
Kwakweli mimi sijutii, na kama dhambi nimeshatubu sababu hata Mungu naye ni shahidi anaona ninachopata.
Wale wote wenye bibi wa kando na babu wa kando tuseme hoyeeeee.
Kwa kumalizia nasema hivi: Mchepuko wangu nampenda sana na na mume wangu nampenda na ndoa yangu siachi na yule naye namshauri sana asimwache mkewe, sisi tupo kwa ajili ya kurutubisha ndoa zetu na kujenga.
Karibuni.
🙃🙃🙃🙃Hiki ndicho kizazi tulichonacho Tz ya Viwanda! Halafu mumeo akijua akaleta gunia mbili za mkaa akuchome nazo jamii itamsakama!?
hawachi, nimekununulia zawadi mama ... utaipataje?
Anyway nakutumia hahahaha

Habari wanajamvi,

Mkuu machizi wasikukatishe tamaa. Huyu ni malaya tu kama walivyo malaya wengine lakini wanawake waliotulia wapo wengi sana. Tafuta mmojawapo uoe. Ikiwa bahati mbaya ukaangukia kama huyu basi ni mapenzi ya Mungu kubali umeumia.Nilisema sioii, ila hii haitoshi, sichangii sendoff wala ndoa tena, wanandoa wasikuizi vichwa vimejaa upupu, na unawawasha kila saa.
Utaoa tu. Time Will tellNilisema sioii, ila hii haitoshi, sichangii sendoff wala ndoa tena, wanandoa wasikuizi vichwa vimejaa upupu, na unawawasha kila saa.
Sawa.....
Thread kama hzi huwa ni mwiba kwa waliooa,polen sana
Jiwe gizani,..yalaaaaaaa
Yawezekana mme kazi yake kujaza misosi ndani na kujisahau kama huyo mke aliacha kwao hivyo