Mchepuko oyeee!

Mchepuko oyeee!

SASA HAPO MWENYE NDOA NI NANI? MUME WAKO AU MCHEPUKO WAKO?
kila mmoja ana nafasi yake, mume atabaki nafasi yake na mchepuko atabaki nafasi yake
 
Mimi nasema kula raha,
Kula matunda ya Dunia,
Kila mtu na starehe yake jamani tuheshimu maana kuna watu humu mna majanga huyu mwanamke akasome..... Yawezekana aliolewa kwa ushawishi fulani, wake za watu wana Siri sana huko kwenye ndoa zao.
 
inauma sana pale mkeo uliyelipa mahari ukamwamini kati ya wengi anavyojisifia mtandaoni anavyoliwa na pumbafu mwingine inauma sana heri ungeliwa kimyakimya inauma sana
 
Back
Top Bottom