Mchepuko oyeee!

Mchepuko oyeee!

Unasema mko makini na mchepuko wako kuhusu maradhi?lakini unakubali kwa mkewe hafanyi kama anavyofanya kwako?na mkewe akiwa na mchepuko wake wa kumkuna kwa siri?na huo mchepuko wa mkewe nao kama una mke ambae nae ana mchepuko?bado sijamzungumzia mumeo na mchepuko wake na mchepuko wa mchepuko wa mumeo
ndo mana unaambiwa dunia inaenda kasi, kwa na ndo maana protection zipo.
 
rafiki unamuumiza mumeo na MUNGU aliyeagiza USIZINI! Hapo je? Mumeo anaweza asijue lakini MUNGU ANAKUONA EVERY SECOND! na mumeo ipo siku atajua!!
nimeshatubu kwa Mungu na Mungu nae najua amenisamehe kwasababu anaona furaha yangu iko wapi
 
Yaani unaliwa nje " then Unasema kuwa mumeo una muheshimu duh!!! ....

Dunia inakwenda kasi sana
heshima muhimu, na kwataarifa yako hata kunihisi hawezi hata simu nimoe siku nzima hana atakachopata.
 
Ujue hii post mumeo na wanao wanaisoma pia. Kumbe ndivyo ulivyo!
 
Ujue hii post mumeo na wanao wanaisoma pia. Kumbe ndivyo ulivyo!
wacha wasome na wao ndivyo walivyo maisha nikuvumiliana na kuheshimiana no one his perfect
 
nimeshatubu kwa Mungu na Mungu nae najua amenisamehe kwasababu anaona furaha yangu iko wapi
bado hujatubu. Kutubu ina maana umeona kosa lako, unalijutia, linakuumiza kulitenda. na hivyo unaazimia kuliacha sasa hapo ndio msamaha unakujja! sasa bado unanogesha nje Mungu akusamehe tu! na unarudiarudia hapana. Kama umetubu acha na Mungu atakusaamehe? hapo unamdhihaki Mungu na mumeo!! katubu wa mumeo mwambie akusamehe na mUNGU ATAKUSAMEHE! waweza? Ila kwa vile ulikuwa wafanya sirini mwambie Mungu , ila uache bwana!!
 
Nilisema sioii, ila hii haitoshi, sichangii sendoff wala ndoa tena, wanandoa wasikuizi vichwa vimejaa upupu, na unawawasha kila saa.
Mkuu kuoa hao waswahili.... niujinga fulani kama unaweza kuishi bila kuoa husioe
 
We jiamini tu kuhusu maradhi,ila kama unasema hatujitumi home ujue hata mke wa mchepuko nae ana mchepuko tena nahisi nae atakua mume wa mtu,check sasa mnyororo ulivyo hapo. Sijui kama maradhi yatatuacha kweli? Ila endelea kufanya siri, 40 yako ikifika tunaomba kwa moyo mkunjufu urudi jamvini kutujuza mkuu kama utakua hai.
 
Back
Top Bottom