Safi sana tena huyo dada hajakomaa vizuri,
utakuta hapo alikua anamwambia mchepuko i love you i'll marry you etc
leo hii anambadilikia na ningekua mie huyo mchepuko namwaribia mpaka kwa mke mtarajiwa,
wanaume jifunzeni kutuliza dushelele zenu,
Nyiny mbona hamjifunz kutuliza papuch zenu??...Mnayataka wenyewe kisha mnaanza kulalama