Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

Asee!!? Yaani watoto wa kiume wamepatwa na nini siku hizi,yani la kusimamia msimamo wako unalalamika? Usipo muoa unakufa au? Au nyie ndo mnategemea ndoa ili maisha yanyoke,maana sioni tatizo la muolewaji kujua ati. Watu wanaacha wake waliozaa nao watoto ili wafurahishe nafsi sembuse mchepuko wenye mimba? Ebu tumieni vichwa vyenu vizuri muache kulalama na kusingizia kulengeshewa na kina dada maana munawapa kichwa wenyewe.
 
Haya ndio matatizo ya kutowaweka wazi michepuko. Unatakiwa toka mwanzo unapoanza nae umwambie ukweli kuwa mimi ni mume wa mtu nina mke na mtoto/watoto au mimi nina mchumba ili ajue wazi kabisa kuwa yeye ni part time. Sasa humwambii ukweli yeye anajua ndio atakuja kuwa mke halafu baadae una mke team story Ooh sijui nina mchumba Ooh sijui nina familia hata ningekuwa mimi lazima ni react. Wanaume we nzangu muwe mnawaweka wazi hawa watu ili kama anaamua kuingia na aingie huku anajua ukweli
 
Ushauri wa bure wanawake tupunguze kutegesha mimba maana imekua fashion..mwambie rafki ako aoe huku anaendelea kuchepuka na mama kijacho
 
Safi sana tena huyo dada hajakomaa vizuri,
utakuta hapo alikua anamwambia mchepuko i love you i'll marry you etc
leo hii anambadilikia na ningekua mie huyo mchepuko namwaribia mpaka kwa mke mtarajiwa,
wanaume jifunzeni kutuliza dushelele zenu,

Nanyie tulizeni papuchi zenu
 
Hapo hakuna mchepuko! Alikuwa ana date wanawake wawili kwa pamoja!

Mimba si kigezo cha kulazimisha ndoa.(Tekiniki ya kizamani sana hii). Jamaa yako aoe anae mtaka yeye, huyo mwenye mimba hana mamlaka ya kuzuia chochote hadi kufikia hatua ya kumuumiza kichwa rafiki yako.

Amwambie tu atakuwa tayari kulea mtoto ila si kufunga nae ndoa! Akazane kujenga mahusiano na huyo mtarajiwa wake na amueleze ukweli mapema kabla hajapata maneno kutoka kwa mtu mwingine! Mwanaume lazima awe na maamuzi na misimamo, ukilalamika na kulia lia utatishika sana! Nature iko wazi kwa upande wa mwanaume na mwanamke so ni ku play hizi part as a man(matured one)

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Hao wote sio wake zako so hapo hakuna mchepuko.

Halafu wewe wa wapi?? Mbona siku hizi watu wanasema live nina mke, mume, mchumba etc kama uko radhi mnalisongesha huku ukijua tena wengine wanapokuwa wote labda wife, husband etc akipiga anasema mume wangu huyo usiongee ngoja nipokee simu??

Wewe ndo umeyataka mwenyewe kwanini ulumficha toka mwanzo
 
jamaa alitaka kumficha ila baada ya binti kumwambia ana mimba ikabidi amueleze kuwa anataka kuoa. hapo ndio mchepuko amekomaa haiwezekani ndoa ifanyike wakati yeye yupo. nadhani jamaa hakuwahi kumweleza dada kama ana mchumba.

hapo chacha. huu mkasa unaweza kuvuruga kila kitu. kwa wachungaji/mapadri strict wanaweza kusitisha ndoa either kwa kufata sheria kwenye kumbukumbu la torati kwamba kijana amuoe binti aliyempa mimba, au kwamba kijana hawezi kufungishwa ndoa kwani yuko nje ya kundi, au kwamba wanapewa muda zaidi wakasuluhishe mambo au wa kuthibitisha kwamba mwenye mimba ni muongo. Hata ndoa ikiendelea tayari honey moon ishakuwa replaced na shubiri moon. ndoa inaanzia katikati kwenda mwisho. dah!
 
Asee!!? Yaani watoto wa kiume wamepatwa na nini siku hizi,yani la kusimamia msimamo wako unalalamika? Usipo muoa unakufa au? Au nyie ndo mnategemea ndoa ili maisha yanyoke,maana sioni tatizo la muolewaji kujua ati. Watu wanaacha wake waliozaa nao watoto ili wafurahishe nafsi sembuse mchepuko wenye mimba? Ebu tumieni vichwa vyenu vizuri muache kulalama na kusingizia kulengeshewa na kina dada maana munawapa kichwa wenyewe.

umeongea kwa hisia sana. ni kwamba ulishaeksipiensi na ukafanya kama ulivyosema au ni ile ya waswahili kusema "kitanda usichokilalia hujui kunguni wake na kiatu usichovaa hujui kinavyobana? Ukimwacha mwanamke mliyeahidi kuoana nafsi itakuwa na furaha? ukimuoa uliyekuwa na ahadi nae na ukamwacha uliyemdanganya na mtoto ambaye ni damu yako nafsi itakuwa na furaha? unafahamu kitu inaitwa kuwa kwenye mtanziko? kwa taarifa yako saa hizi nafsi ya huyu kaka ishakaa pembeni inasubiri akili iiamulie.
 
Kisaikolojia! Ni tatizo kubwa sana humpata mwanadamu pale anakumbana na tatizo gumu akihangaika kutafuta solution! Mwambie hivi:- Hakuna tatizo lisilokuwa na suluhisho, yeye aendelee na mambo yote kama kawaida utashangaa solution itakuja yenyewe! cha msingi azingatie security tu.
 
jamaa ana mpenzi wake wa long time kitambo. msichana alikuwa nje ya nchi kimasomo mawasiliano na maelewano kama kawaida(kiufupi wanapenda sana). walipanga mchumba akimaliza wafunge ndoa. mchumba amerudi ndoa tarehe 28/9.

wakati mchumba yupo masomoni jamaa akaona si mbaya kutafuta wa kuzugia(mchepuko). mpaka sasa mchepuko anadai ana mimba ya jamaa na anasisitiza kuwa ndoa haitafungwa na hata ikifungwa hawataishi pamoja atamuua jamaa.

jamaa analia kama dame hajui afanye nini anaona kama mchepuko anaingilia mapenzi yake hivi.

me kama rafiki nimeshindwa kumshauri ila nikaona si mbaya kuwashirikisha wana MMU tumsaidie ushauri kijana wenzetu afanye nini?

Mbona hiyo tarehe mchumba aliyorudi haijafika?
 
umeongea kwa hisia sana. ni kwamba ulishaeksipiensi na ukafanya kama ulivyosema au ni ile ya waswahili kusema "kitanda usichokilalia hujui kunguni wake na kiatu usichovaa hujui kinavyobana? Ukimwacha mwanamke mliyeahidi kuoana nafsi itakuwa na furaha? ukimuoa uliyekuwa na ahadi nae na ukamwacha uliyemdanganya na mtoto ambaye ni damu yako nafsi itakuwa na furaha? unafahamu kitu inaitwa kuwa kwenye mtanziko? kwa taarifa yako saa hizi nafsi ya huyu kaka ishakaa pembeni inasubiri akili iiamulie.
Hapa hakuna cha dilema wala nini,kwa sababu huyo mwenye ujauzito hata akilazimisha kuolewa ni wazi kuna mwingine anayependwa zaidi yake,we hii unaichukuliaje kama kweli ni mdada unaejielewa? Hivi baadae ikiwa ni visa na mikasa mpaka kuachana kuna kusema ningejua tena? Mimi hii nisingewaza sana bali kusimamia uamzi wangu. Harafu kuanza upya muda mwingine si ujinga.
 
tatizo mchepuko unaofia matunzo so wakae mchepuko aseme anataka sh.lets m20 afu aache hao malaya wafunge ndoa maana huyo unaemsema mchepuko ndo mke haris huyo wa masomon ndo mchepuko

mkuu umeongea kwa hisia sana. m20 ni fidia au vipi? me naona solution ni kama walivyosema wakuu, kuhududumia hiyo mimba na mtoto atakayezaliwa hata kama hatomuoa(kama.mchepuko atakubali)
 
Hapa hakuna cha dilema wala nini,kwa sababu huyo mwenye ujauzito hata akilazimisha kuolewa ni wazi kuna mwingine anayependwa zaidi yake,we hii unaichukuliaje kama kweli ni mdada unaejielewa? Hivi baadae ikiwa ni visa na mikasa mpaka kuachana kuna kusema ningejua tena? Mimi hii nisingewaza sana bali kusimamia uamzi wangu. Harafu kuanza upya muda mwingine si ujinga.

upo sawa mkuu.
 
Hata mimi nisingekubali.

hata mimi aisee , wenzio wakiwa na situation kama hiyo ndio wanaendaga kwa madada poa na ndomu zao wanapenga kamasi zao kimyaa ...haya maswala ya kumfanya mtu mchepuko eti umtumieee weee mwenzio kakataa wanaume wangapi kwa ajili ya kuwa na wewe , halafu leo uoe mwingine !! abaki yeye anachekwa kazaa bila mume , ohoo single & stress , , Huyo Rafikiyo Atajibeba akome !
 
Back
Top Bottom