ahahahaha, naona swali l mekwa gumu!
Kumwaga mbehu siyo tatio, zisipomwagwa kwa mwanamke zitamwagwa tu bauni, mbeg za mwanamume ni nyingi sana ndiyo maana hata ukizibana vipi zitatoka hata usingizini, sembse kwenye starehe ya wawili mnaambiana kabisa tukapime ili tufaidi nyama kwa nyama, matokeo yake mwenzako anaacha kumeza tule tuvidonge tudogotudogo maksudi kabisaa.
ukweli ndoa nyingi za siku hizi wanaume wanategwa tu, ni ndoa chache sana ambazo mwanamume alimfuata mwanamke na kumwambia "nakuoenda naomba nikuowe tuishi pamoja tuzae watoto", nyingi huwa zinaanza kama watu wanaostareheshana ambao hawajaambiana lolote kuhusu mahsiano ya kudumu, mwisho wa siku mwanamke anajimilikisha na kuona huyo mwanamume ni wake, anamtegea mimba!