suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
ah ah ah ah!..wewe hujuwi hilo?!! ngoja nikupe mfano hai, alifika kijana mmoja mtaani kwetu, mwajiriwa a wizara ya mambo ya ndani nafasi yake ya juu tu hivyo yuko vizuri, tukamkaribisha mtaani akawa akawa rafiki yangu wa karibu sana, siku moja ananipigia simu bana njoo sehem flani tuanzishe mojamoja leo weekend..mimi hayaa, tena niko hapa jirani tu, nilivoingia mtu niliyemkuta amekaa naye aliponiona tu alishtuka sana, ni kadada kamoja kanafahamika vyema kwa biashara ya kukodisha mwili, nikachuna tu nikatambulishwa pale tukaendeleza kikao, kesho yake jamaa nikamuuliza unamjua huyo dada, jamaa akasema "yeah, ni ticha mwajiriwa mpya hapo shule ya ***, ni kabinti decent sana naona nitatulia niowe sasa, mimi..."what"?!! huko ndiyo kuchezewa! Mwingine unakuta mke wa mtu anakulaghai tu, anakuchuna!
Hizi habar zako mbona kama sielew huchepuki wewe