Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

Huyo jamaa kilaza mimi naoa na huyo mchepuko akiona nimemchefua alambe ndimu,huwezi force ndoa kma mtu hakupendi na ndoa nyingi za hvyo hazimalizi mda chali

huyo mchepuko njaa tu huyo kwan lazima aolewe yeye???? kaamua tu kumzingua jamaa dadeki me ngeanza kumuua yeye kwanza
 
namhukumu coz anataka kuchachusha chakula wakat kipo mezani kwan hana njia yoyote ya kufanya hadi aseme ataua??? wooii mimi namuwahi aiseeee

kwahiyo ishu hapa ni kusema kuua......? embu angalia upande mwingine ....huyu mwanaume alikuwa mkweli kwa mdada kama yeye ni mchepuko.....ama yeye alionyeshwa kila dalili kuwa ni mke mtarajiwa...?
 
mkuu ebu kuwa mkweli the so called mkeo na mchepuko ebu sema ukweli mtam ni nan?sipiki ze tulus andi wi ashemu ze devo? ukiona so kusema pm

aisee...sijawahi kuwa na mchepuko, siwezi ku describe nani mtamu zaidi. teh!
 
kwahiyo ishu hapa ni kusema kuua......? embu angalia upande mwingine ....huyu mwanaume alikuwa mkweli kwa mdada kama yeye ni mchepuko.....ama yeye alionyeshwa kila dalili kuwa ni mke mtarajiwa...?

hata ktk barabara kuna njia mbili ya kwenda na kurudi hapo bi dada (mchepuko) hakutakiwa kufikia hio hatua hata kama maji yamemfika shingoni kama uelewavyo saiv hakuna mkweli iwe kwa mwanaume au mwanamke kinachotakiwa ni kuweka option mbili kupata au kukosa
 
kama nakuwa huyo kaka nammaliza kwanza huyo mchepuko akafie mbele asilete kiwingu aseeee

aisee...navuta picha we ndio jamaa, sa hizi tungekuwa tunasema r.i.p mchepuko. ila uamuzi wa kuuwa sidhani kama ni sahihi.
 
aisee...navuta picha we ndio jamaa, sa hizi tungekuwa tunasema r.i.p mchepuko. ila uamuzi wa kuuwa sidhani kama ni sahihi.

sio sahihi ila mchepuko uko na hasira kali had anataka kuua??? kisa aolewe yeye au????
 
sio sahihi ila mchepuko uko na hasira kali had anataka kuua??? kisa aolewe yeye au????

mchepuko amechanganyikiwa. huwezi uka force kuolewa. ndoa ni jambo la makubaliano wote inabidi mpendane kama sivyo atakuwa ana risk maisha yake.
ila dada nikuulize swali, kama wewe ndio ungekuwa mchepuko ungefanya aje?
 
ah ah ah ah!..wewe hujuwi hilo?!! ngoja nikupe mfano hai, alifika kijana mmoja mtaani kwetu, mwajiriwa a wizara ya mambo ya ndani nafasi yake ya juu tu hivyo yuko vizuri, tukamkaribisha mtaani akawa akawa rafiki yangu wa karibu sana, siku moja ananipigia simu bana njoo sehem flani tuanzishe mojamoja leo weekend..mimi hayaa, tena niko hapa jirani tu, nilivoingia mtu niliyemkuta amekaa naye aliponiona tu alishtuka sana, ni kadada kamoja kanafahamika vyema kwa biashara ya kukodisha mwili, nikachuna tu nikatambulishwa pale tukaendeleza kikao, kesho yake jamaa nikamuuliza unamjua huyo dada, jamaa akasema "yeah, ni ticha mwajiriwa mpya hapo shule ya ***, ni kabinti decent sana naona nitatulia niowe sasa, mimi..."what"?!! huko ndiyo kuchezewa! Mwingine unakuta mke wa mtu anakulaghai tu, anakuchuna!
Kweli nimepitwa na wakati.Nashukuru kwa kunielimisha mwenzio nilikariri kuwa Ke tu ndo wanachezewa hiyo Kali dah ni shiida!!!
 
ah ah ah ah!..wewe hujuwi hilo?!! ngoja nikupe mfano hai, alifika kijana mmoja mtaani kwetu, mwajiriwa a wizara ya mambo ya ndani nafasi yake ya juu tu hivyo yuko vizuri, tukamkaribisha mtaani akawa akawa rafiki yangu wa karibu sana, siku moja ananipigia simu bana njoo sehem flani tuanzishe mojamoja leo weekend..mimi hayaa, tena niko hapa jirani tu, nilivoingia mtu niliyemkuta amekaa naye aliponiona tu alishtuka sana, ni kadada kamoja kanafahamika vyema kwa biashara ya kukodisha mwili, nikachuna tu nikatambulishwa pale tukaendeleza kikao, kesho yake jamaa nikamuuliza unamjua huyo dada, jamaa akasema "yeah, ni ticha mwajiriwa mpya hapo shule ya ***, ni kabinti decent sana naona nitatulia niowe sasa, mimi..."what"?!! huko ndiyo kuchezewa! Mwingine unakuta mke wa mtu anakulaghai tu, anakuchuna!

Aisee we dingi nakuchukia kinoma ivi wewe ni mwanamke au mwanaume? Make una kiherehere wewe jamaa cjui ni jamii ya kwale wewe. Nakuomba dingi usipende kureply coment zangu, moderator uchwara wewe unanitishia IP ban unadhani mie nina simu au line moja? Hata uknipga ip ban jf ntaendelea kuwepo tu unajidai mzee wa busara wakati ni mzee mkuda tu.
 
mchepuko amechanganyikiwa. huwezi uka force kuolewa. ndoa ni jambo la makubaliano wote inabidi mpendane kama sivyo atakuwa ana risk maisha yake.
ila dada nikuulize swali, kama wewe ndio ungekuwa mchepuko ungefanya aje?

nakula hamsini zangu taratiiiibu presha ya nin ati
 
Huo utani, tena mbaya, unazuga na maisha ya mtu? Mwambie ale alichopanda. Akishamuoa huyo anayedai "anampenda" huyo aliyekuwa "anamzuga" aolewe na nani wakati kishampachika ujauzito?
mkuu, dini yake hairuhusu kuoa wake wengi na anadai hana mapenzi na mchepuko(alikuwa wa kuzugia)
 
Na amuoe maana wanaume bila chukudede hawaishi....... Mimi kama Mimi nisingekubali ata kidogo!! Alafu analeta mambo ya bele Tisa hapa eti amerudi?? We chizi nini ulivokuwa unapanda mahindi ulidhani utavuna mpunga?? Khaaaaah acha wehu wewe embu oa mwanamke alokubebea kihumbe hicho ambacho ulikitia mwenyewe.... Mkome kujifanya bila chukudede siku haziendi..... Loooooh!
 
Back
Top Bottom