Kiongozi, kabla ya kutaka kuleta shule kuuubwa hapa, jua LISEMWALO LIPO. Usiumize kichwa kwa kujaribu kujitutumua kuwa unauelewa mpana wa masuala COMPLEX ilihali hili jambo ni sawa na 3+3 tu.
Zile package za unga, let say NGANO ya Azam, ni plastic au udongo? Je, umewahi ona ile clip inayoonesha jamaa wanatumia 'nyuzi' za kusukia sandarusi hizo kutengeneza mchele??? Mchele huo utaitwaje?
Wapeleke wao??Clouds ndo maana mnavamiwa na mi binduki, kama mnao kwanini msipeleke sampuli kwa waziri wa afya ili achukue hatua?
plastic na moto -wapi na wapiWewe umejuaje kama sio plastiki?
hahahahahTonge la wali haliwezi kudunda kamwe...ukilitupa chini linasambaa ama linaseleleka na si kudunda kama mpira,
huo ndo uelewa wangu mie na nina uzoefu na aina mbalimbali za matonge
plastic na moto -wapi na wapi
Ubarikiwe sana mkuu kwa kuelimisha watu wa type hii....sisi wengine hatuna huo uwezo wa kuelimisha wale ambao walienda shule kujifunza ujinga[emoji119] [emoji119]Clouds ni chombo cha habari. Kazi yake ni kuhabarisha!
Wizara ya afya ipo kwaajili ya kufuatilia mambo yote yanayohusiana na afya za wananchi.
Kwa maelezo hayo mafupi, nafikiri itakua umeelewa ni nani anatakiwa kuwajibika na kwa namna gani.
Nikutakie siku njema mkuu!
- KANA -
Hahahahahahah so sad.....hivi unaelewa kazi ya chombo cha habari?wabanwe hao Clouds FM waeleze wameletewa na nani. Tunajua wanazo mbinu nyingi za kuingiza vitu mbalimbali nchini ambavyo inasemekana vinawanufaisha wao.
Ukochoma moto unawaka kweliTatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Wenye akili tu ndo watakuelewa, kuna shida gani kama unakula mchele wa plastic halafu una kunya mavi ya kutosha na virutubisho unapata !Mimi kinachonishangaza ni wanao jiita great thinkers kuamini kirahisi kuamini kuna mchele wa plastic...HAHAHHAHAHA
Ndiyo akili za hao watangazaji wa clouds zilipoishia!binafsi nimeshaacha kufuatilia matangazo ya cloudsTV &radio....pumba nyingi!wanawachukua watu wasio na taaluma ya habari....ukishakuwa MC tu unaweza pata kazi ya utangazaji huko!Kujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
Hiyo ndiyo ulivyo utendaji wa selikali ya ccm. Usisahau aliyetangaza kwamba atayakayesema mchele wa plastic akamatwe!.