Mchechu, What goes around comes around

Mchechu, What goes around comes around

Angekuwa mwanaCCM humu jamvini tusingeandika kitu. Leo kakabwa bosi wenu, mnalalama tu.
 
Jumuiya ya wazazi ccm chini ya bulembo ilitolewa nje vitu vyake wakalipa wakarud,taasisi za serikali zimeshafanyuwa hivyo Who is mbowe!..kaa mbali na mchechu kawa mchachu deni had lina 1b alikuwa nafanya biashara ya nini bila kulipa pango..!tusione akam viongozi ni malaika na wao wana madudu yao.!na sio busara kila hatua inayochukua serikali dhid ya mwanasiasa ina uhusiano na siasa chafu.!
Sasa na hao nhc walikuwa wapi mda wote mpaka deni likafikia 1.2 bn?huoni kuna either chembe za uzembe au kuna siasa imetamalaki hapo kwa mchechu,mchechu ametumika?by the way kama kweli kakwepa kodi (rent) basi sheria ichukue mkondo wake.
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
mleta Uzi ulitaka mbowe hotels ltd wala si FREEMAN MBOWE binafsi kwa kutolipa Kodi ya pango iondolewe lini? angekuwa muhindi kaondolewa usingesema. kumbuka mteja wa NHC ni mbowe hotels ltd (kampuni) na sio FREEMAN MBOWE. unataka kutuaminisha kuwa kwa kuwa mbowe ni mwana hisa na nimwana siasa basis NHC wanywee!!! wakati huo umekwisha.
 
Mkuu BUBERWA D huu mchezo hautaki jazba , tuendelee kutulia hapahapa jf.
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
Jamani sis wa Tanzania baadhiyetu tunashangaza sana, inakuaje tuna tetea maovu kupitia siasa, mtu anadaiwa mwingine Povu linamtoka kutetea alafu tunailalamikia Serikali haikusanyi kodi, tunaenda kuomba misaada nje. Uko tuendapo kuomba misaada wao waki kubaini Mwananchi anakwepa kodi anafungwa na kufirisiwa.Sisi siasa zina tupofusha.
 
a kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
Crap crap. Nashangaa unatetea wakwepa kodi, hivi ukoje ?hivi unadhani Mchechu ni mjinga kiasi hicho. Nashangaa eti viongozi wa chadema wanataka kukaaa ili kujadili deni hilo. Huu ni upungufu wa akili mwilini. Tangu kini mambo binafsi yanajadiliwa ndani ya vikao vya chama wajameni. Embu mbadilike. Hiki chama ndio kinajidhihirisha kabisa ni cha wenyewe. Sisi wengine ni wapiga mbinja na yowe tu. Baadae utasikia chama kimeamua kumkopesha alipe deni kutoka kwenye pesa ya ruzuku na michango ya wanachama. Unyumbu wa hali ya juu sana.
 
Najiuliza kweli Mbowe akae ndani ya NHC bila? ulipa na anajua yuko upinzani , active upinzani (siyo Cheyo na Mrema) afanye vitu vya hovyo namna hiyo! Time will tell! Ila Mchechu tusimlaumu kapewa agizo, suppose if it were you, what would you have done?
Acha kudanganya watu wewe. Kapewa agizo na nani? Unataka kutuambia deni hilo halipo ni deni hewa ?Msimsingizie yoyote kwa suala la ukwepaji kodi. Tunajua ukwepaji kodi ndio nature ya wanafanyabiashara popote duniani. kwa hiyo sio kitu cha ajabu. Wangapi wamekwepa na wengine wameshatoroka nchini wametelekeza mizigo yao bandarini kwa kusema uongo kwa bidhaa walizoleta. Tutaona mengi mwaka huu na bado mengi tutasikia
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
umetumwa kulaanI????? duwa la kuku
 
Pigo la kwanza mahakamani tayari .
 
Tayari mjomba yametimia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom