Mchechu, What goes around comes around

Mchechu, What goes around comes around

Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Paskali
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
Kwahiyo ulitaka Mbowe aachwe akae bure bila kulipa kodi kisa siku moja Mchechu Nae kazi itaisha!, bure kabisa wewe
 
Busara ingetumika tu, kwa sababu Mbowe alikuwa akitoa ajira kwa watanzania. Kwa serikali inayojali na kuangalia mbali, angepewa muda wa kulipa hata kidogo kidogo.

Sasa wamebomoa jengo, kodi haijalipwa wala cha deni! Only sadists like Magufuli ndiyo wataona hilo ni jambo sahihi kufanyika!
 
Hivi Watanzania tutaacha lini ujinga? Siasa zimetupimbaza kiasi cha kutoona makosa ya wakubwa wa vyama vyetu,?

Je, angekuwa mwanaccm ungemtetea hivyohivyo ? Mbona tumekabidhi akili zetu kwa wanasiasa?
Cremia, kama ana kosa hakuna atakayemtetea kinachoongelewa ni uonevu. Acha bias mkuu, ukiwa mzalendo hupati shida kwenye kutoa maoni. Kuwa mzalendo
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
Wewe ni Nabii
 
Kama kutimuliwa kwake kuna a political motives behind, then karma itamtake care Mchechu kwa formula ya "what goes around comes " will apply, lakini kama NHC wamemtimua tuu katika normal regular operations za kuwatimua rent defaulters, then NHC inatimiza wajibu wake kwa haki and nothing will come around! .

Pasco
Daah
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
Kazi kuwaza upupu tu mboe mboe unakuja kuleta mav* hapa ya mkwepa kodi mkubwa na muuza ngada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom