Labda wewe ni gen z michango ya mwenge haijawahi kuwa hiari wala lazima toka mm mdogo. Nakumbuka nikiwa mdogo sana wazazi wetu walikuwa wanakimbizwa na mgambo mashambani wakitakiwa kuchangia sh. 10 au 100 kama kumbukumbi zangu zipo sawa. Miala ya 1989 hivi. Baadae ikaondolewa michango hii kwa sasa tunachanga watumishi, wafanya biashara. Na ni hiari sio lazima, lakini ni lazima