mchango wa mwenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EricMan

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mwenge

    Nipo kijijini nimeenda kwa Mw/kiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuna elfu moja yamchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi? mwenye ujuzi anijuze
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mchango wa Lazima wa Mwenge ni kero

    sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa. Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara Busega walalamikia kuchangishwa kwa shuruti mchango wa mwenge

    Wafanyabiashara katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wamelalamikia kile walichokieleza kuwa ni michango ya lazima kwa ajili ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru, wakidai kuwa wanatozwa fedha kupitia maelekezo kutoka kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya bila mashauriano wala ridhaa yao. Wakizungumza kwa...
  4. screpa

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa kata kunichangisha mchango wa mwenge kwa lazima imekaaje hii?

    Leo mida fulani nimepigiwa na wife ananiuliza Mtendaji wa Kata anakuhitaji uende ukamuone ofisini kwani umefanya kosa gani? Nikasema sijui maana sikumbuki kama nna kosa lolote ngoja niende nikamsikilize, ikabidi nitoke nilipo nisitishe shughuli niliyokuwa naifanya niende nikamsikilize...
  5. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu ulazima wa mwalimu kulipia mchango wa Mwenge

    Wakuu, sina haja ya kuwasalimia kutokana na mvurugo bila kusahau matusi ya Mkuu Mpwayungu naomba kuuliza wajuvi hivi mwalimu akishindwa kuchangia mchango wa MWENGE ambao ni shilingi elfu tano katika halmashauri hii anakuwa amemkosea nani kwa sababu naona ni wazi tunatafutana lawama. Kuna...
Back
Top Bottom