Mchango wa Dini katika ustawi wa maisha ya Binadamu

kwanza hujaonesha kivipi kila mtu ana dini

maana ya motto ni hii "a short sentence or phrase chosen as encapsulating the beliefs or ideals of an individual, family, or institution."
Sasa hii niliyokuwekea si motto bali ni "Maana" na si "Kauli mbiu".

Hilo la kuonyesha ni namna gani watu wana Dini nimeshaonyesha tayari.
 
Naona umekuja na mtindo wa kukimbia maswali kwa wazi sana kuliko huko nyuma, nyuma ulikuwa unakimbia maswali kwa kujificha.

Nilipomuuliza mlengwa juu ya imani juu ya jambo la chanzo sikumaanisha bila imani hiyo au hizo maisha hayaendi, uamini maisha yataenda usipo amini kadhalika yataenda, sababu yupo muendeshaji wa maisha. Lengo langu lilikuwa ni kujua yeye anasema nini juu ya chanzo maisha na ulimwengu kwa ujumla. Kwahiyo usiwe una hoji juu ya mambo ambayo yako wazi sana, kiasi ambacho ukiyahoji unaonekana ni mkurupukaji kama ulivyo fanya wewe.

Kadhalika katika lengo langu lingine la kumuuliza vile ni kumzindua juu ya kufikiria mambo katika uhalisia wake.
maswali gani niliyoyakimbia?

sasa kama lengo lako ujue maoni yake ilikuaje umsetie mfumo wa majibu unayoyataka kwa kumuwekea dhana ya imani?
 
Sasa hii niliyokuwekea si motto bali ni "Maana" na si "Kauli mbiu".

Hilo la kuonyesha ni namna gani watu wana Dini nimeshaonyesha tayari.
Ile ni kauli mbiu kwasababu haiafikiani na maana halisi ambayo inatambulika kiujumla. Maana sahihi ni ile ambayo umeiweka kutoka wikipedia na mimi nimekubaliana nayo

Sasa tukubaliane hapa, tufanye mjadala kwa kutumia kauli mbiu ambayo ipo katika muktadha wa eneneo fulani tu au maana halisi ambayo inatambulika na watu wote?
 
Kuna dini inaamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili na ukarejea katika hali yake,hapo haipangani na uhalisia?
Pia inaruhusu wanaume kupiga wake zao au inaupa ushahidi wa mwanamke uzito kidogo kuliko wa mwanaume, hapo inaweka kila kitu mahali pake?
Dini iliyo sahihi kuijua ni rahisi sana, kwanza haipingani na uhalisia.

Imewasaidia watu wa dini hiyo mambo mengi sana, hasa kuweka kila kitu mahala pake.
 
maswali gani niliyoyakimbia?

sasa kama lengo lako ujue maoni yake ilikuaje umsetie mfumo wa majibu unayoyataka kwa kumuwekea dhana ya imani?
Onyesha wapi nimemsetia huo mfumo ?
 
Ile ni kauli mbiu kwasababu haiafikiani na maana halisi ambayo inatambulika kiujumla. Maana sahihi ni ile ambayo umeiweka kutoka wikipedia na mimi nimekubaliana nayo

Sasa tukubaliane hapa, tufanye mjadala kwa kutumia kauli mbiu ambayo ipo katika muktadha wa eneneo fulani tu au maana halisi ambayo inatambulika na watu wote?
Ona ulivyikuwa mjinga. Wewe ile maana uliikataa kwa sababu ilikuwa ya Kiarabu, sasa uhalisia wake ulio pingaba nao uko wapi ?

Maana zote nilizo kupa zinarejea katika ile maana ya msingi, na ile maana ni ya kilugha na maana ya kilugha huwa ina wigo mpana kuliko maana za kiistilahi, ndiyo maana zote za dini zinarejea katika ile maana ya Dini niliyo itoa mimi hapo awali.

Hatuwezi kujadiliana katika kauli mbiu sababu kauli mbiu ni msemo tu si maana. Labda nikupe mifano ya kauli mbiu na hasa huelekea katika maslahi ya walio iweka.

Mfano "Hapa kazi tu", "Maisha bora kwa kila mtanzania". Sasa hapa tutajadili nini ?
Kibwagizo
Sasa nakupa kazi, weka kauli mbiu yako kisha tuijadili (Nimecheka sana).
 
sikuikataa kwa kigezo cha lugha ya kiarabu bali niliikataa kwasababu ilikua ipo katika muktadha mahususi kwa waarabu (motto). Na ndio maana nilikupa maana ya dini in general kwa lugha ya kiarabu uigeuze kwa kiswahili uone kama ingekuja kama wewe ulivyonipa ile "motto"

karibia nchi zote za uarabuni zinatumia mfumo wa dini katika uongozi wa kiserikali. kwa muktadha huo ukiniambia kua dini ni mfumo wa maisha sitakupinga

ili tuendelee mbele nataka nijue umesimamia maana ipi ya dini, ikiwezekana iweke tena hapa
 
Kuna dini inaamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili na ukarejea katika hali yake,hapo haipangani na uhalisia?
Pia inaruhusu wanaume kupiga wake zao au inaupa ushahidi wa mwanamke uzito kidogo kuliko wa mwanaume, hapo inaweka kila kitu mahali pake?
Sahihi kabisa na ni uhalisia. Unaweza kupinga jambo hili kielimu ?

Pili, mwanaume ni bora kuliko mwanamke kwa majukumu aliyopewa mwanaume (Yaani sisi tunakuwa juu ya Wanawake sababu sisi ndiyo tunepewa jukumu la kuwatunza, kuwasimamia). Una hoja ya kupinga hili ?

Tatu, ni kweli inaruhusu kupiga wake zetu ila kwa kufata itifaki siyo unampiga mwanamke kama unapiga mwizi, na katika hilo pigo si pigo la kuumiza wala kutoa damu, na katika huko kumpiga ni haramu kumpiga mwanamke Usoni,bali si tu mwanamke ni haramu kumpiga yeyote Usoni, ndiyo maana katika Dini yetu mchezo wa Ndondi (Masumbwi) ni haramu. Je una hoja ya kupinga hili ?
 
sikuikataa kwa kigezo cha lugha ya kiarabu bali niliikataa kwasababu ilikua ipo katika muktadha mahususi kwa waarabu (motto). Na ndio maana nilikupa maana ya dini in general kwa lugha ya kiarabu uigeuze kwa kiswahili uone kama ingekuja kama wewe ulivyonipa ile "motto"
Hivi kuabdika uongo kwenu nyinyi ni jambo zuri la kusifiwa siyo ? Naona unajikana.Nataa ujihukumu mwenyewe rejea ulichokiandika huko nyuma.

Ile uliyo nipa haikuwa maana ya dini bali ilikuwa inaongelea tamko Imani katika kuabudu Mungu au kinyume chake.

Umesahau uliposema hiki ni Kiarabu au sivyo ? Unatakiwa uwe mkweli kinyume na hapo utaumia tu.
 
karibia nchi zote za uarabuni zinatumia mfumo wa dini katika uongozi wa kiserikali. kwa muktadha huo ukiniambia kua dini ni mfumo wa maisha sitakupinga

ili tuendelee mbele nataka nijue umesimamia maana ipi ya dini, ikiwezekana iweke tena hapa
Unatumia mfumo wa dini kisheria ila si kilugha. Ndiyo maana ile maana mamma niliyokupa hizi zote zinarudi kule.

Naona umekubali sasa turudi kwenye maana na si "Motto" ? Unatakiwa uongeze umakini. Hapa bila shaka lazima turudi katika maana mama inayokusanya maana zote za dini, na ni ile niliyo itoa mimi.
 
nenda pale ulipomuuliza swali
Nimeenda na hakuna hilo unalo dai. Maana swali langu lilikuwa wazi sana,kwamba kuhusu chanzo cha ulimwengu angeamua kujibu kwamba hauna chanzo, ningemuhoji au angesema chanzo chake ni "Nothing" kadhalika ningemuhoji, yaani kwa namna yoyote kwayo angejibu swali lile asingetoka.
 
kwani hizi habari za kilugha hapa zimefikaje?

napokuambia unipe maana ya dini simaanishi kwamba ukinipa zile motto ambazo ziko katika muktadha wa jamii fulani au mazingira fulani fulani kua ndio maana halisi ya dini ntakubali

dini ni nini?
 
1602058114489.png

kwanini umsetie majibu ya swali yawe katika mfumo wa kiimani?

nini kilichokufanya uhisi majibu ya hilo swali lazima yawe katika mfumo wa imani?

ikiwa kama yeye alikua ana majibu kinyume na imani huoni swali lako la kuhusu imani linakua halina mantiki?
 
Thibitisha unayosema
Sahihi kabisa na ni uhalisia. Unaweza kupinga jambo hili kielimu ?

Pili, mwanaume ni bora kuliko mwanamke kwa majukumu aliyopewa mwanaume (Yaani sisi tunakuwa juu ya Wanawake sababu sisi ndiyo tunepewa jukumu la kuwatunza, kuwasimamia). Una hoja ya kupinga hili ?

Tatu, ni kweli inaruhusu kupiga wake zetu ila kwa kufata itifaki siyo unampiga mwanamke kama unapiga mwizi, na katika hilo pigo si pigo la kuumiza wala kutoa damu, na katika huko kumpiga ni haramu kumpiga mwanamke Usoni,bali si tu mwanamke ni haramu kumpiga yeyote Usoni, ndiyo maana katika Dini yetu mchezo wa Ndondi (Masumbwi) ni haramu. Je una hoja ya kupinga hili ?
 
kwani hizi habari za kilugha hapa zimefikaje?

napokuambia unipe maana ya dini simaanishi kwamba ukinipa zile motto ambazo ziko katika muktadha wa jamii fulani au mazingira fulani fulani kua ndio maana halisi ya dini ntakubali

dini ni nini?
Kijana sijui kwanini huwa unavamia mijadala ikiyo kuzidi uwezo...?

Jambo gani unaweza kulitenganisha na lugha ? Hiki nakuachia likupeleke puta.

Onyesha wapi nimekupa kauli mbiu, na tangu lini Kauli Mbiu ikaonyesha bayana ? Kauli mbiu ina sifa kuu mbili kwanza ni kipande kifupi cha sentensi yaani msemo kisha sifay nyingine kinahitaji maelezo.

Maana ya Dini nimeshakuwekea zaidi ya mbili. Sasa usipoteze muda kujadili jambo lililo kuzidi uwezo, lazima uaibike.
 
kwanini umsetie majibu ya swali yawe katika mfumo wa kiimani?
Kijana kuendelea kujadiliana na mimi ni kujichimbia shimo. Swali langu liko wazi na halijamfunga niliye muuliza, maana yake hakuna jibu kinyume chake.

Imani ni kusadiki juu ya jambo fulani pasi na shaka yoyote na kufungamana na jambo hilo. Mathalani, ukana Mungu ni imani sababu wao wanaamini kwa sababu zao ya kuwa hakuna Mungu.

Kwa ziada ya matumizi ya tamko imani si tu katika Dini bali hata katika maisha ya kawaida tunalitumia tamko hili kinyume na imani za kidini, nakupa mfano, huwa kuna kauli zifuatazo katika jamii zetu.

1. Usimuamini Mwanasiasa. (Hapa tamko hili halijaja kwa munasaba wa dini bali kwa muktadha wa hali ya watu hao)

2. Watoto wa kike hawaaminiki (Kadhalika limetumika tamko imani kwa sifa yake).

Mifano iko mingi sana juu ya tamko hilo, kwahiyo narudia tena swali langu halikumfunga muulizwaji. Kwahiyo swali langu lilimili juu ya kile anachokiamini kile anacho kijua kile anacho ishi nacho kile alochofungamana nacho kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha.
 
Thibitisha unayosema
Twende taratibu, nitalifanya baada ya wewe kujibu swali langu hapo juu, kwamba hicho ulichokiandika dhidi ya Dini yangu unaweza kukipinga kielimu ? Ukijibu ndiyo au hapana. Nathibitisha kisha narudi kwenye swali langu hili "Pinga kielimu".

Ithibati ya hicho ulichokitaka tunakipata katika Qur'aan na Hadithi za mtume wa Allah.
 
Siwezi kupinga kielimu kwa sababu sio suala la kielimu ni mithili ya hadithi za Abunuwasi.
Hakuna rekodi yoyote kwenye historia halisi na elimu yote ya anga duniani kote tukio la mwezi kugawanyika vipande viwili kisha kurudi katika hali yake.

Safi kabisa naelekea kukuthibitishia jambo hili, ila kuna vitu tuwekane sawa. Wewe Historia unayo irejea ni ipi na ilianza kuandikwa lini na nani ?

Dondoo kuhusu Ithibati ya mwezi kupasuka na nukta muhimu

1. Kwanza unatakiwa ujue ya kuwa tukio la kupasuka kwa mwezi ni tukio lililo hadithiwa na watu wengi kwa zama husika mpaka habari hii kutufikia sisi, katika istilahi za uhakiko wa habari hali hii ya masimulizi tunaiita "Mutawatir".

2. Tukio hili lilikuwa ni muujiza kwa wale walio mtaka mtume afanye muujiza ili wathibitishe ya liwa yeue ni mtume kweli.

3. Naweka kiporo nukta hii nitakapo kuja kukujibu juu ya marejeo yako ya Historia.

4. Siyo kwamba tukio limekaa mithili ya hadithi za Abuu Nawasi (Usahihi wa jina lake ni hili, na visa vyake si vya kweli kwa kumnasibishia yeye). Habari za Abuu Nawas zinaelezeka kielimu sababu sababu yeye amezuliwa habari hizo.
 
Back
Top Bottom