Mchango wa Dini katika ustawi wa maisha ya Binadamu

Mchango wa Dini katika ustawi wa maisha ya Binadamu

Sasa hii ndio maana halisi ya dini na sio ile yakihuni kutoka uarabuni uliyoiweka awali
Ulivyokuwa kipofu wa macho na akili hujaona hata hii maana ni ua Kiarabu pia ila imetarujumiwa katika Kiswahili.

Twende kwenye hoja yako sasa.
 
Unawezaje kutenganisha dini na watu wa dini? Kuna dini isiyo na watu?
Dini ni muongozo na watu wanatenda kufata muongozo.

Niliposema watu na dini sija vitenganisha viwili hivi, bali nimekuonyesha ya kuwa ni kosa la kiufundi kuikosoa Dini fulani kwa kuwaangalia watu wa dini husika, bali usahihi wa mambo ni kuwapima watu wa Dini husika kwa kuangalia mafundisho ya Dini husika.

Mathalani, dini yetu inasema ya kuwa Riba ni haramu, ila sisi tuna kula riba, vipi kuna munasaba gani ya mimi kula Riba na Dini yangu, yaani Dini yangu utaiingiza vipi katika kula kwangu mimi Riba kisha ukaitia dosari Dini yangu kwa tendo langu haramu ambalo Dini yangu imelikemea ?
 
Vita nyingi zimesababishwa na dini na Hao washika dini kuanzia jihad mpaka ww2
Niambie nani hana Dini hapa ulimwenguni ? Yaani Duniani ?

Lakini, je hakuna haja ya kuangalia sababu ya vita hivyo ? Je watu wanapigana tu bila sababu ? Je kila vita ni kwa ajili ya uharibifu au kutengeneza ?

Au unaifikiriaje vita ? Ndiyo maana Wakana Mungu huwa wana hoja dhaifu sana sababu wanaangalia mambo juu juu.
 
Sina dini mimi
 
Dini ni uhuni na utapeli ulioletwa duniani na wajanja wachache wa miaka kuanzia kama 8000 iliyopita ili waendelee kuwanyonya wanyonge. Na iliendelea kutumika kwa manufaa ya wachache kukandamiza wengi kwa muda mrefu. Watu wengi duniani wameanza kushtuka dini ni utapeli. Afrika kutokana na unyonge wetu na umaskini bado tumeishikilia, hilo si ajabu sababu dini iliundwa kukandamiza watu wajinga kama tulivyo Afrika sasa. 2000 years from now hakutokuwa na huo upuuzi unaitwa dini dunia nzima. Unajua kisa cha Galileo na katoliki?
 
Utaijuaje dini iliyo sahihi? Na imesaidiaje watu wa dini hiyo ukilinganisha na hizo dini nyingine?
Sasa iweje Mola ni mmoja halafu Dini ziwe nyingi ? Ujue hapo lazima Dini moja ni sahihi na hizo nyingine na fikra za watu kama vile Ubudha, Uhindu, Upagani (Naturalism) , na mfano wao.
 
Ulivyokuwa kipofu wa macho na akili hujaona hata hii maana ni ua Kiarabu pia ila imetarujumiwa katika Kiswahili.

Twende kwenye hoja yako sasa.
zile zilikua ni arabic motto ambazo ziko applied uarabuni tu. hapa nilikua nazungumzia universal definition ya dini in general na hiki ulichokijibu hapo juu ndio sahihi

sasa point yangu ni kwamba watu wote wanaoishi nje ya hiyo misingi utawaitaje?
 
Nimecheka sana. Thibitisha hili.

Unaamini nini kuhusu maisha na chanzo cha ulimwengu ?
kwani kuna ulazima wowote watu kuamini katika dhana hizo mbili ili maisha yaende?

maisha yanawezekana mbona bila kuwa na imani juu ya hizo habari, point yako iko wapi hapo?
 
Niambie nani hana Dini hapa ulimwenguni ? Yaani Duniani ?

Lakini, je hakuna haja ya kuangalia sababu ya vita hivyo ? Je watu wanapigana tu bila sababu ? Je kila vita ni kwa ajili ya uharibifu au kutengeneza ?

Au unaifikiriaje vita ? Ndiyo maana Wakana Mungu huwa wana hoja dhaifu sana sababu wanaangalia mambo juu juu.
mbona wengi tu hatuna dini na maisha yanaendelea?

au hapa umetumia tafsiri ile iliyo katika muktadha wa kiarabu kua mfumo wa maisha ni dini?

mtu haitaji dini ili aendelee ku-survive mtu anahitaji chakula, maji, afya, makazi na sio dini

dini ndio inamuhitaji mtu ili iendelee ku-exist, dini ikikosa waumini inakufa, mtu akikosa dini maisha yanaendelea
 
Utaijuaje dini iliyo sahihi? Na imesaidiaje watu wa dini hiyo ukilinganisha na hizo dini nyingine?
Dini iliyo sahihi kuijua ni rahisi sana, kwanza haipingani na uhalisia.

Imewasaidia watu wa dini hiyo mambo mengi sana, hasa kuweka kila kitu mahala pake.
 
zile zilikua ni arabic motto ambazo ziko applied uarabuni tu. hapa nilikua nazungumzia universal definition ya dini in general na hiki ulichokijibu hapo juu ndio sahihi

sasa point yangu ni kwamba watu wote wanaoishi nje ya hiyo misingi utawaitaje?
Hakuna anaye ishi nje ya hiyo misingi, na ndiyo maana ukiangalia hiyo maana niliyo kupa ina "mkato" kila tamko linalo rejewa kwalo.

Kisha nikakupa maana ya Wana jamii, sasa usilazimishe jambo liwe kinyume na uhalisia, sababu maana ya kwanza niliyo itoa na hizi zilizo fata hazina tofauti.

Naona unazidi kukosea nini maana ya "Motto" na ile maana niliyo itoa inaingia vipi katika hili ?
 
kwani kuna ulazima wowote watu kuamini katika dhana hizo mbili ili maisha yaende?

maisha yanawezekana mbona bila kuwa na imani juu ya hizo habari, point yako iko wapi hapo?
Naona umekuja na mtindo wa kukimbia maswali kwa wazi sana kuliko huko nyuma, nyuma ulikuwa unakimbia maswali kwa kujificha.

Nilipomuuliza mlengwa juu ya imani juu ya jambo la chanzo sikumaanisha bila imani hiyo au hizo maisha hayaendi, uamini maisha yataenda usipo amini kadhalika yataenda, sababu yupo muendeshaji wa maisha. Lengo langu lilikuwa ni kujua yeye anasema nini juu ya chanzo maisha na ulimwengu kwa ujumla. Kwahiyo usiwe una hoji juu ya mambo ambayo yako wazi sana, kiasi ambacho ukiyahoji unaonekana ni mkurupukaji kama ulivyo fanya wewe.

Kadhalika katika lengo langu lingine la kumuuliza vile ni kumzindua juu ya kufikiria mambo katika uhalisia wake.
 
mbona wengi tu hatuna dini na maisha yanaendelea?
Hili si kweli kwa maana ya ujumla ya dini. Sababu hata wakana Mungu ukiambia ukanaji Mungu ni imani na dhana kukataa uwepo wa mungu huwa wanakataa, lakini kiuhalisia hata hiyo ni dini kwa maana nyingine zote za dini. Sababu kuabudu si tu kumuabudu Mungu bali wapo wanao abudu akiki zo wapo wanao abudu mali zao.

Hili huwezi kunithibitishia, na ukweli wa mambo ni kuwa hakuna mtu anaye ishi bila dini bali wapo wanao ishi kwa kumkana Mola muumba na hili halomzuii yeye Allah kuwalea wale wanao mkana, ndiyo maana leo hii mpoa mnao mkana lakini bado mnadunda sababu hili alishatupa uhuru nalo. Tukipenda tumshukuru na tukipenda tumkufuru.
 
Hakuna anaye ishi nje ya hiyo misingi, na ndiyo maana ukiangalia hiyo maana niliyo kupa ina "mkato" kila tamko linalo rejewa kwalo.

Kisha nikakupa maana ya Wana jamii, sasa usilazimishe jambo liwe kinyume na uhalisia, sababu maana ya kwanza niliyo itoa na hizi zilizo fata hazina tofauti.

Naona unazidi kukosea nini maana ya "Motto" na ile maana niliyo itoa inaingia vipi katika hili ?
kwanza hujaonesha kivipi kila mtu ana dini

maana ya motto ni hii "a short sentence or phrase chosen as encapsulating the beliefs or ideals of an individual, family, or institution."
 
Back
Top Bottom