Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,169
- 123,310
Ulichokisema ni unaelekea kuthibitisha na sio kwamba umesema "umethibitisha" ila bado hujathibitisha hiyo ni ahadiSasa kuthibitisha ni sawa na kuelekea kuthibitisha ?
Kijana hujawahi kuwa makini hasa unapojadiliana na mimi, punguza uoga na usome kile ninacho kiandika. Ajabu najaribu kukiandikia Kiswahili chepesi sana.
Suala la kuthibitisha naendelea nalo, kwa kufata mtiririko wa yule niliye anza naye, ndiyo maana nimeamua niende naye taratibu ili asije kuuliza maswali ya kipuuzi huko mbeleni na kunipotezea muda.Kwahiyo hapa namsubiri akija naendelea naye. (Fatilia hatua kwa hatua huu mjadala).
Ukisema unaelekea kuthibitisha ina maana hapo unazungumzia kwa muda ujao utakua tayari umethibitisha this means by this moment your have not yet provided the proof
Nataka uweke wazi huo uthibitisho ambao umedai unaelekea kuuthibitisha tuusubiri kwa muda gani utakua tayari?