Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Bavicha wamechanganyikiwa kila mmoja wao anaropoka kivyake.

teh teh teh
 
kaa ikuingie vizur


Huo upuuzi? Kwa mwenyekuelewa masuala ya sheria, baada ya hapo polisi walitakiwa kumngojea mlangoni.

Akitoka tu hapo studio akatoe maelezo ya tuhuma za mauwaji ambayo yeye anathibitisha kufaham kila kitu.

Ndo maana namuonea huruma, kwa nchi makini huyu alikuwa anaozea jela, hata yamwangosi............kichaa huyu.
 
MCHANGE MTU WA HOVYO KABISA ""at highest level of stupidity"nani hakuona bomu la machozi alilopigwa d.mwangozi kwa karibu na kumtawanyisha ndg yetu
 
... Eti Mwangosi Aliuawa Na Chadema"? Jaman Jaman, Mchange Hebu Ona Aibu.!
 
Huyu dogo mchange ni mburula kweli yani akimaliza kuongea lazma azame humu jf matterqo yake.
 

Attachments

  • 1408254429178.jpg
    1408254429178.jpg
    2.8 KB · Views: 552
Mnyika anacheka sana namna anabyojinyeanyea Mchange...

Kweli kabisa mkuu,mvuta bangi mchange anaongea utumbo kabisa,tena mambo Yale Yale,hata akiulizwa swali hajibu anarudia Yale Yale tu,halafu anaongea kwa jazbaaaa!ameishiwa hoja anapaswa kuwekwa ndani huyo.
 
Mchange alisema kuwa chadema iliwahi kumwita Bob Makani msaliti..
Mnyika kama mjibu hakuwahi kuitwa msaliti kilichotokea Makani na Mtei walichukua fomu kugombea urais ndipo chama kilipo wazuia wote na kuamua kuunga mkono chama kingine...
 
Back
Top Bottom