Naona misukule ya cdm inatoka povu
mkuu nini povu, watoe udenda kabisa lakini siyo siri tangu CHADEMA imeguke watu tumejua mengi sana kuhusu uharamia ulioko huko.
Naona misukule ya cdm inatoka povu
kijana yuko makini yule, hadi raha kumsikiliza.
mkuu nini povu, watoe udenda kabisa lakini siyo siri tangu CHADEMA imeguke watu tumejua mengi sana kuhusu uharamia ulioko huko.
CHADEMA watakuwa wanatetemeka , wakihofu nani tena atavuliwa nguo
ataonga haya, cdm wamepewa pesa na wazungu kuchafua amani, atataja namba ya akaunti (feki) hizo pesa zinako pitia (rejea yule mtoto wa ccm kutoka pugu sec), walio muuwa Mwangosi.Mchange kuunguruma kesho saa 1.30 asubuhi ndani ya kituo cha luninga cha Startv tusikose kumsikiliza anaongelea kitu gani,

Mwanasiasa kijana Mchange Habib ni kijana mwenye uwezo wa hali ya juu
Startv ndio luninga ya kitaifa
Naanza kuamini sasa neno "kunguruma" linaanza kupoteza maana, yaan hata huyu Gamba mtema pumba akiongea nae ananguruma???!!!Mchange kuunguruma
kesho saa 1.30 asubuhi ndani ya kituo cha luninga cha Startv tusikose
kumsikiliza anaongelea kitu gani,
Endelea kumsifia mumeoMwanasiasa kijana Mchange Habib ni kijana mwenye uwezo wa hali ya juu
Una mashairi mazuri sana kwa honey wako!Usiwe unapenda kujickia penda kusikia na usivyovipenda Mchange anaunguruma maana uwezo wake ni mkubwa sana
kama degree ya kwanza imemshinda,uwezo wa hali ya juu anautoa wapi, pole