Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
Huo upuuzi? Kwa mwenyekuelewa masuala ya sheria, baada ya hapo polisi walitakiwa kumngojea mlangoni.
Akitoka tu hapo studio akatoe maelezo ya tuhuma za mauwaji ambayo yeye anathibitisha kufaham kila kitu.
Ndo maana namuonea huruma, kwa nchi makini huyu alikuwa anaozea jela, hata yamwangosi............kichaa huyu.
Polisi waanze na mbowe na slaa walimuua wangwe