Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Cha ajabu vijana wa CCM ndio wanapiga makofi na vigelegele!!!
 
ha ha ha. . pale ambapo ccm ndio wanategemewa kukimbia now hata kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kinafanya ya ccm
 
jamaa wa CHADEMA vipi? anaulizwa kuhusu migogoro ndani ya CHADEMA yeye amebaki CCM imeshindwa kutekeleza ilani yao, Ivvona si amukaribishe MCHANGE angalau mada iwe na mvuto
 
Mbona nimemuona mnyika...
Huyu angalieni mpendu taaluma imemezwa na ukada
 
Taarifa hiyo waliipata lini?Lissu yupo Singida na jana alikuwa akisimamia uchaguzi jimbo la Singida magharibi
 
Chadema ni smart sana hawawezi kumuogopa mtu kama Mchange maana ni kagamba ka mjusi tu
 
hatimaye MNYIKA amewasili nadhani amemsikia mtangazaji akilalamika kutopata ushirikiano kutoka kwake.
 
Yaani mchange ndio afanye mdahalo na kina Lissu?
Wamwite mwigamba
na msaliti mwenzao
 
Last edited by a moderator:
hahhaha SLAA NI CCM na chadema
mimi ni Act na CHADEMA

HAHAHAHAHAH AISEEE
RUDINI KUNDINI

Simiyu Yetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom