Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,732
- 861,104
Ukiona nyani mzee...?Mjuzi ndio ila tayari umri umekutupa mkono, stay on the sidelines..
Ukiona nyani mzee...?Mjuzi ndio ila tayari umri umekutupa mkono, stay on the sidelines..
Mali nzuri kabisa hiyo😋😂Safi kabisa!
Kwahiyo hata mwenye Grid ya Taifa, wewe twende tu...????Wanaume tuache kuweka vigezo vingi kwa wanawake..
Mchagua jembe si mkulima.
Tafuta mwenye unafuu anza nae, maisha.
Ukikaa kudhani kuna perfect match, utasubiri mpaka utakufa ukimtafuta.
Ndo maana mabachela wengi ni wale wenye elimu za darasani. Maana wana over analyse.
Life is short.
Brother mwanamke hapendi. Wapo lkn sio hao ambao vijana wengi wanawakimbilia.Ukweli kabisa, ila huu ujumbe pia kwa wadada maana nao wamekuwa materialistic sana, "no money no love"!
Vitu vya asili kabisa hata nabii MUSSA aliikubari Akaiweka ndani... namini very soon nita....Mali nzuri kabisa hiyo
Kwahiyo wewe hubagui Wala huchagui atakayekuzika humjuiInategemea na kama tunammudu tu.
Mapenzi ni gharama
"Hakuna slay queen anayependa"Brother mwanamke hapendi. Wapo lkn sio hao ambao vijana wengi wanawakimbilia.
Vijana wengi wanakimbilia kwa wahuni wa kitaa na kuacha wanawake wanaoweza kupenda kwa dhati kabisa.
Hakuna slay qeen anaependa bro.
Ila watu 🤣Nipe namba ya mkeo nimpe pole
Yule manzi kakaa pale kwa sababu Ronaldo yuko juu, ila Nakuhakikishia Ronaldo angepata anguko, manzi angetafuta mtu mwingine. No wants to keep up with a foolKama jembe butu ujibebee tu likuhangaishe shambani, kuwa makini sana unapochagua mwenza wa kuoa na kuanzisha familia tena tuliza akili haswa. Fanya due diligence ya kutosha na uchumba sugu kama CR7 ohoo, hayaa shaur zako.
Basi hata hiyo spot inakuwa haina ulazima wa mwanaume kuifanya pia kama wao ni lazima waweke vigezo vya kupewa pesa.Sasa unadhani usipo mpa wewe kwa wengine hapati?
In short this game isn't favorable to men, find your spot and stick in
Umeongea sahihi kabisa,Ex-wife shangazi zake wote hakuna aliekuwa ndani ya ndoa wakat namchumbia Mrs, wote walikuwa wameachika, dada zake wakubwa wawili wote walikuwa wameachika. Mimi nikajifanya mjuaji na vigezo vingi, baada ya miaka 2 nilinyosha mikono mwenyewe akaondoka.
Mtu kuanguka doesn't corelate to being a fool, btw hio ilikua nyongeza tu main point ni chukua muda wako kuchunguza mtu cheki familia yake makuzi yake magonjwa ya kurithi, ushirikina etc. The divorce rate is higher coz people didn't take their time on choosing their partners.Yule manzi kakaa pale kwa sababu Ronaldo yuko juu, ila Nakuhakikishia Ronaldo angepata anguko, manzi angetafuta mtu mwingine. No wants to keep up with a fool