Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 401
- 754
Yah! kwenye michezo ya baba na mama till now sijathubutu tena!!!ushawah kula black beuty?
Yah! kwenye michezo ya baba na mama till now sijathubutu tena!!!ushawah kula black beuty?
ngoja ni usomeTresor Mandala kuna ujumbe wako huku wew chagua chagua
Aliyesema hakuegemea kwenye dhana ya umalaya, na alikuwa sahihi sanaMwanamke ni chombo cha starehe
hahahahahaha,nimeuona,ile mie siko huko,wewe unajuaTresor Mandala kuna ujumbe wako huku wew chagua chagua
kinatakiwa kilipiwe,kama starehe zingine zinalipiwaMwanamke ni chombo cha starehe
Au sio!!Kwani yeye si mwanamke kama wanawake wengine? Kupenda wanapenda vizuri na wanumizwa na kulia kama watoto
I'm mad at these ebony skined ladies they are so sweet 🥰
Another misconception that traps people.
Huwa tunapenda kuwa label watu as if wao si binadamu
Upo sahihi sana mkuu vijana wanapendana kidgo tu then wanaoana.Mm najaribu kumfuatilia comedian mmoja anaitwa Coy Mzungu.
Sasa hivi ana program ya dating ili apate mke wa kuoa. Hivi mkuu unatarajia pale apate mtu sahihi kweli.
Wazazi wetu walianza kuangalia chimbuko la mtu, ukoo wao ukoje na vitu vingine vingi ndio maana walipata wake sahihi.
Siku moja nitashare historia yangu na aliekuwa mrs wangu. Niliambiwa sana lkn nilikuwa mkaidi but finally ilikuja kutimia.
Ex-wife shangazi zake wote hakuna aliekuwa ndani ya ndoa wakat namchumbia Mrs, wote walikuwa wameachika, dada zake wakubwa wawili wote walikuwa wameachika. Mimi nikajifanya mjuaji na vigezo vingi, baada ya miaka 2 nilinyosha mikono mwenyewe akaondoka.
unamaanisha wew bikra itabidi nikutaftie kabinti ili usije kufa na watoto kiunoniYah! kwenye michezo ya baba na mama till now sijathubutu tena!!!
Suleiman mwenye wake 1k aliiona ni UBATILI hata mimi namuunga mkono!unamaanisha wew bikra itabidi nikutaftie kabinti ili usije kufa na watoto kiunoni
They just tryna focusing on CHEAP DOPAMINE, which turn into bitter pills to swallow.Upo sahihi sana mkuu vijana wanapendana kidgo tu then wanaoana.
Mkuu mimi wakati nipo chuo kuna mchumba nlimwelewa baads ya kumaliza tulikaa mwaka kwenye mahusiano nkaoa.
Mkuu hivi nnavo kwambia tulikaa kwenye ndoa 1 year asee msoto nlio pitia sijawahi ona nlimwacha period!!
Vijana hao wanawake mjitahidi sana kuwajua kwakina mahusiano ya kawaida tu yasikufanye ufikie point ya kuona huyo anafaa kuliko wote, mjifunze kwa kina tabia za huyo mnae pendana nae.