de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,712
- 23,473
- Thread starter
- #41
Mkuu maisha haya endo bila pesa, sembuse mwanamke ambae ndo anakupa ile kitu roho inapenda?Basi hata hiyo spot inakuwa haina ulazima wa mwanaume kuifanya pia kama wao ni lazima waweke vigezo vya kupewa pesa.
Kiufupi tu tusipangiane maisha mkuu
Mkuu maisha yana revolve around money, ukiwa huna hela wewe ni Takataka tu.
That's it, hakuna demu mkali atakuelewa, huta pata heshima, utaonekana debe tupu