Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,227
​Weka picha Mkuu
Mbona hatukuelewi,andika vizuri basi
Mbona hatukuelewi,andika vizuri basi
Ukisoma kwanguvu utaelewa!Mbona hatukuelewi,andika vizuri basi
Kwani wewe unataka kufanyaje. Msukule wee
Mbona hatukuelewi,andika vizuri basi
ndo alivyokwambia????
Kondoo wanachungwa ili watumike kwa faida (waliwe, wauzwe, wakatwe sufi n.k).Kama mchunga kondoo anafanya dhulma sijui hao kondoo watakua katika hali gani
huyo naye kazidi mara mchungaji,mara mbunge mara mtendaji mkuu wa st marry school sasa huyu ni mchungaji au ni mfanya biashala
ukizingatia hawakupewa kitu kidogo:angry:duh sipati picha hao maskari najuaa wanavyotaka sifa ha ha ha
yaani hiyo ingekua mfano kwa wengineKwani wangempa huyo mama kiwanja chake pamoja na hiyo nyumba bila kuivunja ingekuwaje..??! kulikuwa na haja gani ya kuivunja..??!
Sasa mkuu huyu mama kama amekaidi wito wa kufika mahakamani, tena wito wa taasisi yenye mamlaka ya kisheria kumuamuru aende itawezekana kweli kumwambia basi tuelewane mezani? si ndo atajiona keshashinda. Dawa na kiburi ni jeuri.Serikali,rwakatale na huyo mwenye viwanja wote mbuluraz,issue kama hiyo ni kukaa mezani tu!! Kama Mama mchungaji kavamia kiwanja serikali ingekaa kati kufanya win win situation kutafuta mtu wa kati ananue eneo mama mchungaji apate gharama alizotumia na aliedhulumiwa apate gharama ya kiwanja serikali ipate tozo ya kodi ya manunuzi....
Tukitoka hapa tunahamia kwenye ile aliojenga kwenye Mkondo wa Bahari.Rungu la Sheria
limetua kwa Mch.Gertrude Rwakatare,Mchungaji Kiongozi wa 'Mlima wa
Moto'.Ni nyumba yake iliyokuwa Mbezi Beach. Alijenga katika eneo la
mjane alilolivamia. Hatimaye sheria imechukua mkondo wake. Mjane alilia
kwa furaha. Nyumba hiyo ilisajiliwa kwa jina la mtoto wa Mch.Rwakatare.
Uboboaji huo ulifanywa chini ya ulinzi mkali wa askari waliokuwa
wamesheheni silaha za moto.
Wakati wa ubomoaji,alijitokeza mtu mmoja aliyedai kuwa ni Wakili wa
mwenye nyumba akiwa na nyaraka za kimahakama zinazodaiwa kuweka zuio la
kubobolewa kwa nyumba hiyo.Hatahivyo,alipuuzwa na ubomoaji kuendelea
kama ulivyopangwa. Kweli sheria ni msumeno!
Chanzo: ITV