Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

mchungaji gn tapeli hvyo!!!!!???anadhulumu hadi kiwanja cha muumini wake kwa makusudi,eti anabadili jina lake na kuweka la mwanae!!!!!!!!!!!!mpuuuzi sn huyu mama!!!!!!!!!!
 
Mlima wa MOTO...na st Mary's...zimejengwa kwenye graves.... Wanatumia dini kutupumbaza tuu..wakatiri sn...watoto wetu pale chuoni ulalamika na uongoz feki..aliajiri mkenya..km mkuu wa shule..hasikiliz kabisa...
 
Sheria gani hiyo ya kuvunja nyumba wakati kuna stop order ya Mahakama? Siyo uvunjifu wa sheria huu? Na kuvunja nyumba iliyojengwa kwa gharama kubwa kiasi hicho kunaongeza tija gani katika uchumi wa taifa, mama Rwakatare ama huyo mjane?

Tuachane na ushabiki unaoashiria chuki binafsi za ki matabaka.

Rungu la Sheria limetua kwa Mch.Gertrude Rwakatare,Mchungaji Kiongozi wa 'Mlima wa Moto'.Ni nyumba yake iliyokuwa Mbezi Beach. Alijenga katika eneo la mjane alilolivamia. Hatimaye sheria imechukua mkondo wake. Mjane alilia kwa furaha. Nyumba hiyo ilisajiliwa kwa jina la mtoto wa Mch.Rwakatare. Uboboaji huo ulifanywa chini ya ulinzi mkali wa askari waliokuwa wamesheheni silaha za moto.

Wakati wa ubomoaji,alijitokeza mtu mmoja aliyedai kuwa ni Wakili wa mwenye nyumba akiwa na nyaraka za kimahakama zinazodaiwa kuweka zuio la kubobolewa kwa nyumba hiyo.Hatahivyo,alipuuzwa na ubomoaji kuendelea kama ulivyopangwa. Kweli sheria ni msumeno!

Chanzo: ITV
 
Hizi ni hoja zingine za msingi ambazo zingetakiwa kushughulikiwa kila moja kwa upana na uzito wake. Ujenzi wa shule na kanisa kwenye makaburi, sheria za nchi zipo na zinaweza kushughulikia hili suala vizuri tu. Suala la dini sijui linaingiaje hapa kwa sababu Sheria ya nchi imeweka uhuru wa mtu kuwa ama kutokuwa na dini yoyote kwa utashi wake ili mradi havunji sheria. Sasa sielewi hapa dini imevunja sheria gani.

Sidhani kama kuajiri Mkenya ni kuvunja sheria. Ila suala la ill governance, lina mahala pake sahihi linapoweza kufikishwa na kufanyiwa ufumbuzi ili kuhakikisha kuna customer security inayotakiwa kwenye hiyo taasisi unayoilalamikia.

Lakini haya yote, hayahusiani na suala la kujenga kwake nyumba kwenye eneo la mjane. Bila kuwa na ushawishi unaoashiria kutokana na visasi, kama kuna mjane mmliki wa eneo hilo kitu ambacho wakati wa fukuto la wivu wa nyumba ile hakikusemwa, angepata manufaa zaidi kwa negotiation badala ya uvunjaji ambao hauna tija kwake wala kwa mtu yeyote halisi.

Lakin all in all, kuendelea kuvunja nyumba wakati kuna hati ya mahakama ya kuzuia uvunjaji huo, hi uharibifu wa makusudi na uvunjaji wa sheria. Ni dalili tosha kwamba mama Rwakatare kavunjiwa nyumba kwa hila, chuki na wivu wa watu/ama kikundi cha watu binafsi na wala si kwa maslahi ya mjane wala serikali.

Ni huzuni kuona watu wanashangilia mzani wa hila.

ndg yangu sheria ni msumemo, unataka kuniambia wale wanaotakatisha fedha za dawa za kulevya kwa kujenga mahekalu waachiwe kwa sababu wanaongeza uchumi wa taifa.? Umenishangaza kweli kweli
 
Rwakatare hana dini.

Ukimwona "kiongozi" wa Dini kajibanza CCM ujue ni walewale; muuza unga, fisadi, jambazi, jangiri, Mganga njaa au jambazi. Ukiwa na moja au zaidi ya sifa hizo basi unastahili uongozi wa juu ndani ya CCM maana CCM hii ya manyang'au si ile ya akina Nyerere waliokufa malofa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
sikuona busara za serika kuvunja hizo nyumba wangezitaivisha maana daaaah zilikuwa nne halafu za ukweli...
 
Na ile NGO ya wachaga ambao sasa hivi wanapokwa laki 500 kila mmoja kila siku kutoka kwa wazungu huku wamewatosa wenzao inakuwaje??

thibitisha vinginevyo jukwaa liendelee kuamini kama kawaida kuwa nyie ni chama cha matahira..
 
Sheria gani hiyo ya kuvunja nyumba wakati kuna stop order ya Mahakama? Siyo uvunjifu wa sheria huu? Na kuvunja nyumba iliyojengwa kwa gharama kubwa kiasi hicho kunaongeza tija gani katika uchumi wa taifa, mama Rwakatare ama huyo mjane?

Tuachane na ushabiki unaoashiria chuki binafsi za ki matabaka.
Kwa hiyo wewe concept yako ni kuwa mtu mwenye mapesa ni untouchable na yupo above law?

Hivi unataka nchi yetu itumie mfumo wa jungle law, ambayo principle yake kubwa ni the survival of the fittest?!

Kama nchi yetu itataka kutumia mfumo huo wa jungle law, kama alivyotaka kuutumia huyo mheshimiwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya magamba, hivi sisi wanyonge walala hoi, tutaweza kweli kusurvive kwenye nchi yetu?!
 
Rungu la Sheria limetua kwa Mch.Gertrude Rwakatare,Mchungaji Kiongozi wa 'Mlima wa Moto'.Ni nyumba yake iliyokuwa Mbezi Beach. Alijenga katika eneo la mjane alilolivamia. Hatimaye sheria imechukua mkondo wake. Mjane alilia kwa furaha. Nyumba hiyo ilisajiliwa kwa jina la mtoto wa Mch.Rwakatare. Uboboaji huo ulifanywa chini ya ulinzi mkali wa askari waliokuwa wamesheheni silaha za moto.

Wakati wa ubomoaji,alijitokeza mtu mmoja aliyedai kuwa ni Wakili wa mwenye nyumba akiwa na nyaraka za kimahakama zinazodaiwa kuweka zuio la kubobolewa kwa nyumba hiyo.Hatahivyo,alipuuzwa na ubomoaji kuendelea kama ulivyopangwa. Kweli sheria ni msumeno!

Chanzo: ITV

Yaani jumba lile alilojenga kwa biashara ya unga wa sembe?

Dah!

Ama kweli haki imetendeka.
Na bado wengine waliojificha nyuma ya madhabahu!

Nyambaff kabisa!
 
Sheria gani hiyo ya kuvunja nyumba wakati kuna stop order ya Mahakama? Siyo uvunjifu wa sheria huu? Na kuvunja nyumba iliyojengwa kwa gharama kubwa kiasi hicho kunaongeza tija gani katika uchumi wa taifa, mama Rwakatare ama huyo mjane?

Tuachane na ushabiki unaoashiria chuki binafsi za ki matabaka.

Mbona yeye alikuwa ana mdhulumu ma Mjane na mahakama ilimstopisha ujenzi hakukoma akajiona yeye yuko.juu ya sheria na ukichangia yuko chamani alifikiri atashinda kwa kuhonga Mungu mkubwa kashindwa kesi huyu mama sijui ni mchungaji gani anauedhulumu waliovunja wamefanya vizuri mana ana roho mbaya kwa mwanamke mwenzake eti mtumishi
 
Hizi ni hoja zingine za msingi ambazo zingetakiwa kushughulikiwa kila moja kwa upana na uzito wake. Ujenzi wa shule na kanisa kwenye makaburi, sheria za nchi zipo na zinaweza kushughulikia hili suala vizuri tu. Suala la dini sijui linaingiaje hapa kwa sababu Sheria ya nchi imeweka uhuru wa mtu kuwa ama kutokuwa na dini yoyote kwa utashi wake ili mradi havunji sheria. Sasa sielewi hapa dini imevunja sheria gani.

Sidhani kama kuajiri Mkenya ni kuvunja sheria. Ila suala la ill governance, lina mahala pake sahihi linapoweza kufikishwa na kufanyiwa ufumbuzi ili kuhakikisha kuna customer security inayotakiwa kwenye hiyo taasisi unayoilalamikia.

Lakini haya yote, hayahusiani na suala la kujenga kwake nyumba kwenye eneo la mjane. Bila kuwa na ushawishi unaoashiria kutokana na visasi, kama kuna mjane mmliki wa eneo hilo kitu ambacho wakati wa fukuto la wivu wa nyumba ile hakikusemwa, angepata manufaa zaidi kwa negotiation badala ya uvunjaji ambao hauna tija kwake wala kwa mtu yeyote halisi.

Lakin all in all, kuendelea kuvunja nyumba wakati kuna hati ya mahakama ya kuzuia uvunjaji huo, hi uharibifu wa makusudi na uvunjaji wa sheria. Ni dalili tosha kwamba mama Rwakatare kavunjiwa nyumba kwa hila, chuki na wivu wa watu/ama kikundi cha watu binafsi na wala si kwa maslahi ya mjane wala serikali.

Ni huzuni kuona watu wanashangilia mzani wa hila.
Kwa hiyo kwako wewe, yule mama mjane kudhulumiwa kiwanja chake na hao mafisadi wenye economic power, ndiyo unaona sahihi?!

Nadhani hilo lililofanywa na Manispaa ya Kinondoni ni sahihi kabisa, ili liwe fundisho zuri kwa wale mafisadi wengine, wanaotengeneza pesa chafu, kwa staili ya uuzaji wa 'sembe' na unyofoaji wa pembe za ndovu, kuwa their days are numbered, kwa kuwa sheria ni msumeno, inakata huku na kule, bila kujali nafasi yako kwenye society!
 
Back
Top Bottom