Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

Mch Rwakatare alishakamatwa kwa tuhuma za wizi wa umeme ktk moja ya shule zake na aktozwa fain akailipa.

Laaana ya Mzee Ngonyani wa kawe imemshika Mama Rwakatare sasa picha ndio imeanza huyo Mzee masikuni kadhulumiwa kiwanja chake kawe beach na mama Rwakatare kisha akaandika jina la mwanae hizo ndio zake kuficha majina ya Mali zake.
 
Mzee Ngonyani wa Kawe ni Mojawapo wa watu walioathilika na Tabia ya Mama Rwakatare ya kuwadhulumu Masikini Viwanja kisha kuwatumia Mawakili wake kuwatisha hatimae kufanikisha kumiliki Viwanja kwa dhuluma , hiyo Laana ya Mzee Masikini wa Kawe ndio imefanya Haya yote kwani wakili wake kadunda licha ya kujaribu kila mbinu zote.Mzee ngonyani sasa anajipanga kwenda ikulu kuonana na Rais Maana amejaribu kote lakini Rushwa ikamnyima Haki zake yeye Hana pesa ni fukara Ndio Maana ametumia Laana ili kumfikishia Ujumbe
 
Dahh mama ana dhambi uyu....kweli sio kila anaesema bwana bwanaa atauona ufalme wa mbigu
 
Mimi nataka lile Kasri libomolewe...Maana limejengwa kwenye hifadhi ya mto...
 
Rungu la Sheria limetua kwa Mch.Gertrude Rwakatare,Mchungaji Kiongozi wa 'Mlima wa Moto'.Ni nyumba yake iliyokuwa Mbezi Beach. Alijenga katika eneo la mjane alilolivamia. Hatimaye sheria imechukua mkondo wake. Mjane alilia kwa furaha. Nyumba hiyo ilisajiliwa kwa jina la mtoto wa Mch.Rwakatare. Uboboaji huo ulifanywa chini ya ulinzi mkali wa askari waliokuwa wamesheheni silaha za moto.

Una maana ya hii nyumba au nyingine?

1000.jpg
 
Si alikua anatembeza rushwa mjane wawatu kaukanyaga sana tu kwenda mahakaman Hatimaye mungu mkubwa kashinda kesi......walivokua wanajenga naona walijua watashinda kesi

Safi sana..wacha wabomoe tu..nimeskia mjane anasema alienda wizarani kuangalia jina la mmiliki wa kiwanja akaona watu walishaanza kubadilisha baadhi ya document..ila huyu Mmiliki na yy anaonekana ni kifarau ujue..siyo mdogo..!!
 
Kiukweli mie kaniudhi kama kanidhulumu mm vilee
 
huyo naye kazidi mara mchungaji,mara mbunge mara mtendaji mkuu wa st marry school sasa huyu ni mchungaji au ni mfanya biashala
 
ila so haki walikuwa wapi kipindi anajenga?

haki huwa inanyang'anywa pale unapokuwa umenyang'anya haki ya mwingine (limitation of rights) yeye hakuwa na haki ya kujenga pale kabisa, so wewe ulitaka apewe haki gani mfano?,
pili, huyu mjane mwenye kiwanja, alishapeleka suala lake kwenye vyombo vya sheria lakini Getrude Lwakatare akakaidi agizo la kusimamisha ujenzi, hapo napo ulitaka apewe haki gani?, yeye hakuwa na haki yoyote kwa sababu hakuwa mmiliki halali WA Hilo eneo, na kama angepewa haki basi mjane mwenye eneo angekuwa amedhulumiwa haki yake PIA.
haki Ni suala nyeti, ukiitumia vibaya na wewe utanyang'anywa, ndio maana unaona watu wananyimwa uhuru WA kwenda kokote watakako kwa sababu wanakuwa hawatumii vizuri uhuru walionao.
 
Mama hana presha wala nini KONDOO watatoa tena sadaka,,,aiseee mlipatiwa kweli kuitwa Kondoo maana huyo Mnyama mpole sana!!
 
Back
Top Bottom