Ni nyumba yake iliyokuwa Mbezi Beach. Alijenga katika eneo la mjane alilolivamia. Hatimaye sheria imechukua mkondo wake. Mjane alilia kwa furaha.
Chanzo: ITV
Rwakatare hana dini.
Star TV pia wameonyesha hii habari. .
Mama Mchungaji alijenga nyumba Mbezi pasipo kibali.
Pili alivamia kiwanja cha mjane na kuanza kujenga. ..
Aliitwa mahakamani wakati anaanza ujenzi ila inasemekana alikaidi. ..
Leo askari wenye silaha walisimamia shughuli ya ubomoaji
Hapa ndipo ninapoipendea serikali yetu, haijali cheo, hadhi wa fedha za mtu linapokuja suala la kufuata sheria!
.....mbona umemumunya maneno????..ungesema tu ni nyumba zinazohusishwa na lile limama Lwakatare.....ambaye tayari anahusishwa na dhuluma na ufisadi....pasipokusahau biashara haramu ya watoto....Alafu anajiita mchungaji......Unafiki wa wanasiasa wetu huu..
Kwani wewe unataka kufanyaje. Msukule weeKwahiyo unatuambia tufanyeje!
Rwakatare hana dini.[/QUOTEQUOTE mfanyabiashara dini!!
Hizo nyumba ni zaidi ya mil. 30Kwa mujibu wa Eng.wa manispaa ya kinondoni kila nyumba ina thamani ya million 30.siku nyingine uwe mchunguzi ili kuitetea serikali.Serikali hii hii inadai kupitia NHC inajenga nyumba za bei nafuu na kupitia habari iliyowekwa hapa JF nyumba ya bei ya chini Ni million 40.huo ufahari unautoa wapi mkuu
​Weka picha Mkuu
Nyumba nne eneo la mbezi beach ikiwamo no. 314 zilizopo ufukweni mwa bahari ya hindi zimebomolewa leo na serikali