Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

Kwani ule mlima wake wa moto umeshindwa kuzuia ubomoaji? ama ndo tuseme not applicable?
 
Well done prof.Tibaijuka,tunajua unaweza fanya zaidi ya haya na kama kawaida yako ni mtetezi wa wanyonge,endelea kutetea haki za wanyonge bbila kujali vyeo wala nafasi ya mtu.Kazi nzuri na iwe somo kwa wengine wote wanao vunja sheria,haki itendeke.
 
Sheria gani hiyo ya kuvunja nyumba wakati kuna stop order ya Mahakama? Siyo uvunjifu wa sheria huu? Na kuvunja nyumba iliyojengwa kwa gharama kubwa kiasi hicho kunaongeza tija gani katika uchumi wa taifa, mama Rwakatare ama huyo mjane?

Tuachane na ushabiki unaoashiria chuki binafsi za ki matabaka.

Hiyo stop order ya mahakama huyo mama lwakatare hakuiona? Na kwa nini aendelee kujenga wakati amezuiliwa kuendelea na ujenzi?
 
Hiyo stop order ya mahakama huyo mama lwakatare hakuiona? Na kwa nini aendelee kujenga wakati amezuiliwa kuendelea na ujenzi?

Kuna huyu Mzee 0656005556 anaitwa Ngonyani yupo huko kawe Mpigie atakupa kilio chake juu ya Mama Rwakatare Kwani amedhulumiwa kiwanja Chake kisha nyumba zimejengwa faster faster sijui vibali alivipataje? Huyo Mama Rwakatare huwa Hana huruma ukikaa kwenye anga zake lazima akulize .
 
Well done prof.Tibaijuka,tunajua unaweza fanya zaidi ya haya na kama kawaida yako ni mtetezi wa wanyonge,endelea kutetea haki za wanyonge bbila kujali vyeo wala nafasi ya mtu.Kazi nzuri na iwe somo kwa wengine wote wanao vunja sheria,haki itendeke.

Prof Tibaijuka msaidie Mzee ngonyani wa kawe namba yake ni 0656005556 huyo kadhulumiwa kiwanja chake kisha nyumba zimejengwa faster lakini kwa Kuwa ni masikini sana Hana uwezo wa kupambana kudai Haki yake.
 
Star tv walisema nyumba zote zinathamani ya sh 120m, nilishangaa sana, make hiyo hata bei ya kiwanja haijafika.
 
Mbona yeye alikuwa ana mdhulumu ma Mjane na mahakama ilimstopisha ujenzi hakukoma akajiona yeye yuko.juu ya sheria na ukichangia yuko chamani alifikiri atashinda kwa kuhonga Mungu mkubwa kashindwa kesi huyu mama sijui ni mchungaji gani anauedhulumu waliovunja wamefanya vizuri mana ana roho mbaya kwa mwanamke mwenzake eti mtumishi
Kuna Mzee anaitwa Ngonyani 0656005556 kadhulumiwa kiwanja chake na Mch Rwakatare ni mwaka wa 800 sasa hataki kumlipa Haki yake ! Cha Ajabu ametumia Pesa Nyingi kuzuia Haki kuliko pesa ambazo angemlipa Mzee Ngonyani,wapo wajanja walijipenyeza na kula Pesa zake kisha kumpa mbinu za kufanikisha dhuluma ikiwemo kugushi mikataba na malipo feki .chezea mch Rwakatare wewe...
 
Huyu Mama huwa anahubiri ya kuwa tujiwekee hazina mbinguni, wakati yeye anawekeza duniani.
 
Kama kweli Haki ipo hapa Dsm basi hiyu Haki itendeke kwa huyo Mzee Ngonyani wa Kawe ambaye kadhulumiwa kiwanja chake na Mch Rwakatare kisha Wajanja wakaitumia Fursa kujinufaisha baada ya kushirikiana na Abdul mtegete wametengeneza mchongo wa kijanja hadi Kiwanja kikaenda bure huku Mzee Ngonyani akitaabika kwa njaa inasikitisha sana ! Kama kweli Haki ipo hapa Tz basi hiyo Haki ifike kwa Mzee ngonyani Pia .
 
Mkuu hujaeleweka.. Hiyo nyumba inayovunjwa mbona haifanani na ya huyo Dr?
 
watafute majina ya kuyapa makanisa yao eti "mlima wa moto" mbona haukuwasha hayo magreda
 
Back
Top Bottom