duh sipati picha hao maskari najuaa wanavyotaka sifa ha ha ha
Kwa mujibu wa Eng.wa manispaa ya kinondoni kila nyumba ina thamani ya million 30.siku nyingine uwe mchunguzi ili kuitetea serikali.Serikali hii hii inadai kupitia NHC inajenga nyumba za bei nafuu na kupitia habari iliyowekwa hapa JF nyumba ya bei ya chini Ni million 40.huo ufahari unautoa wapi mkuu
Hujui? Kwani huu , msukule , mlima wa moto uliteuliwa na chama gani kuingia mjengoni?Acha kufikiri kimasaburi wewe, hapo ccm imehusikaje?
umesahau. Kuwa Huyu mama ni mbia was prince kwenye ile biashara ya sembe. wakati prince anaksmatwa China mama aliwahi kuchomoka na Leo yuko wanted china
Kama mchunga kondoo anafanya dhulma sijui hao kondoo watakua katika hali gani
Hapa ndipo ninapoipendea serikali yetu, haijali cheo, hadhi wa fedha za mtu linapokuja suala la kufuata sheria!
Umeonaeeee! Mchungaji mlima wa moto, bila shaka waumini watakuwa majivu.Kama mchunga kondoo anafanya dhulma sijui hao kondoo watakua katika hali gani
umesahau. Kuwa Huyu mama ni mbia was prince kwenye ile biashara ya sembe. wakati prince anaksmatwa China mama aliwahi kuchomoka na Leo yuko wanted china
Mkuu unakuwa kama gamba? Atawekaje picha kaona ITV!!
Mimi mbona nimesikia na kuona tofauti na nyinyi? Nilivyoelewa mimi suala siyo kujenga ufukweni bali ni kujenga ktk kiwanja cha mtu mwingine aitwaye Ngowi jina la kwanza limenitoka ambaye ni mwanamke, zile nyumba wala siyo za kifahari kihivyo kwanza bado hazijaisha kujengwa hata kidogo, hata hivyo kama aliambiwa akakaidi kaingia hasara kubwa kwani angeweza kuokoa angalau mabati ama angenipa mimi nikayatumie kwingine jamani
Mbona hatukuelewi,andika vizuri basi
hujaelewa nini? Uliza swali nyie mnaangalia tbc
CCM inahusianaje na nyumba ya Rwakatare?ccm ni ukoo wa panya.