Kweli kabisa mzee uyu anajaribu kumtisha nyau mtu mwenye mauwezo ya kutukana viongozi wengine ,na baade akaamua kuishiwa nguvu,kuzimia hatimaye kuagiza bastola na risasi za bunduki ambayo iko home!Huku akijikusanyia asipotawanya au kuvuna asipopanda!.Wakati huo huo anasahau mkuu wa wilaya ni mwakilishi wa rais.Any way gudi laki asije akafa kabisa kwani uyo ni mkuu kuliko wale waliomzimisha kule sentro.acha kutshia watu wenye upeo mkubwa kama mchungaji gwajima!
Kauli ikiyorudiwa juzi na Askofu Tarcisius Ngalelekumtwa wa Iringa Kuwa wakristo tupige kura ya NO katiba hii ndiyo kauli ya wakristo
Kauli ya Kadinali Pengo ni yake pekee yake na ipuuzwe na sioni kama kuna mkatoliki nikiwepo mm atakayekuwa nyuma ya Pengo aliyegeuka kibaraka wa CCM
Kadinali Pengo apuuzwe
Mie mwenhewe nimeshindwa hata kushangaa sijui amekula maharage ya wapi huyu?kabisa Ni NGO?
Gwajima anamtumikia Mungu ndo aliyemuita kumtumikia huyo mkuu wa wilaya ni nani mbele za Mungu? Mungu anaweza akamzisha muda wowote. Amlaaniwa amuogopae mwanadamu
Wewe East Afrika umechomolewa unatakiwa urudishwe,, Mungu ni zaidi ya mkuu wa wilaya na wewe unaemuita mtumishi wa Mungu msukule,, mimi nasema usipojirekebisha Mungu akushughulikie mwenyewe
bado mgeni wa kazi huyo
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake...
Wewe East Afrika nadhani wewe pepo, sasa nakutangazia kukufyeka kwa upanga wa neno la Mungu ukatao kuwili na kukusaga kwa jiwe livunjalo mawe vipandevipande kwa Jina La Yesu
Umeambiwa kuhusu ugonjwa wake waulize polisi na daktari wake, ukimtumikia Mungu huwezi kuugua maana Yesu alipigwa ili tupone. So ingekuwa presha angekuwa kwenye wheelchair mpk leo? Jiulize tuuu km akili zako ziko sawa utagundua kitu