Kirahisi ni kwamba mkuu wa wilaya hajaridhika na mahojiano yaliyofanyika kati ya askofu Dkt Gwajima na polisi. Kwa maana hiyo polisI hawafanyi kazi vizurI kama atakavyofanya yeye.
Mchungaji wa makanisa ya kipentekoste mch. Josephat Gwajima amesema hatapoteza muda wake kwenda kumuona Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Amesema barua aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya imemfedhehesha na kasema hataijibu itajibiwa na maombi ya mnyororo yanayoendelea.
Chanzo: Kutoka magazetini.
EastAfrican Eagle naamuru maalaika warudishe itakavyo stahili malipo ya kejeli na maneno ya uongo uyatoayo sasa hivi KWA JINA LA YESU.
Mchungaji wa makanisa ya kipentekoste mch. Josephat Gwajima amesema hatapoteza muda wake kwenda kumuona Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Amesema barua aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya imemfedhehesha na kasema hataijibu itajibiwa na maombi ya mnyororo yanayoendelea.
Chanzo: Kutoka magazetini.
Nungwe ulinsisimikisi....... naliibhibwe.Gwajima is my hero
kwani anayo mamlaka gani kumwita na asipoenda kuna adhabu gani? makonda ni .....tu hana lolote na hana mamlaka kuniita hata mimi tu. mimi hata akinikuta nimekaa kwenye kiti mahali na siti zimeisha asifikiri nitasimama, siwezi kufikiria kabisa kama kuna mtu ameingia hapa, kidogoo mkuu wa mkoa ila kwa mkuu wa wilaya, yaani ni raia mdogo sana kwangu mimi binafsi. sembuse kwa gwajima sasa.Duuh hajui huyo ni milinzi wa amani aka mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, ila nchi hii kuna baadhi ya watu wana raha wakitoa maneno yanayodhaniwa yamemkashifu mtu mwingine wanachoambiwa waende kituo cha polisi wakaripoti wenyewe lakini wengine utatafutwa kwa marungu au hapo hapo unapotoa hayo maneno unazuiwa na kufunguliwa mashitaka.
ndugu, zipo sababu za kufuta NGO, ikifutwa bila sababu ya msingi unaenda mahakamani kushitaki na itarudishwa mara moja. ukiwa delegated mamlaka na sheria hautakiwi kuiabuse, hautakiwi kuwa biased, hautakiwi kuitumia kuvunja sheria, hautakiwi kuitumia vibaya, ukifanya hivyo upande wa pili wataitaka mahakama itoe mwongozo au amri ya kubatilisha ulichokifanya mara moja. tafuta mwanasheria yeyote karibu yako akufafanulie kitu kinachoitwa 'JUDICIAL REVIEW". utafunga mdomo wako.Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
ndi gwa ngemela uneNungwe ulinsisimikisi....... naliibhibwe.
Hata kutukana Pengo kunaleta hisia za kidini kuwa Gwajima alimtukana kwa kuwa Pengo ni mkatoliki sio mpentekoste na hakuleti afya katika taifa.
Kukomesha vitu kama hivi kinachotakiwa mara ingine ni kufutilia mbali vidini ambavyo havileti afya kwa taifa.Hakuna ubaya .Ni heri kadini kamoja kakorofi kafutwe kuliko taifa liangamie kwa kukosa amani.
East African Eagle naona umekomaa na Askofu Gwajima sijui kachukuwa nini cha kwako. Ni vizuri ukatangaza maslahi uliyonayo. Post zako zinaonekana una alot of interest!
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
Makonda yeye ni mwenyeki wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Kinondoni, pengine ana Ajenda zake lakini kubwa zaidi anajua Gwajima lazima angegoma kwenda Ofisini kwake hivyo iwe rahisi wao kupata sababu ya kumfukuza Wilaya ya Kinondoni, Gwajima uwe makini kwa hili.
Gwajima si mwepesi kama nilivyodhani mwanzo, ana watu wengi tena wanaomwamini na walio tayari kujitoa kwake hao watu watasikiliza atakavowaelekeza pa kupeleka kura.