MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

Huyo jamaa alikuwa Mgonjwa.

Hii ilimpata Sani Abacha (Nigeria) maana alishughulikiwa na totoz hadi akapatwa mauti.

Good news ni kwamba, KAFA AKIFAIDI.

Halafu kumbe Wachaga sasa mmekuwa kama Wazenji. Wazenji wakisema wanaenda kwenye NGOMA basi huko lazima bibie ampate "Abdallah bin Kichwa Wazi". Naona na Wachaga kumbe hizi mbio za kukimbilia Uchagani eti "wanaenda kuhesabiwa" hakuna lolote ni kwenda kukumbushia Makoloni yao.

Nikiolea huko, hakuna cha kwenda KUHESABIWA.

Anyway, nitowe POLE kwa Wafiwa na ndugu wote wanaohusika na maafa haya. Kujifanya unamcheka huyu jamaa ina maana wewe ni MEREHEMU pia. Vinginevyo itakuwa unamcheka mkunga wakati uzazi ungalipo. Kesho unaweza kusikia ni wewe. Ila kumbuka tu ASIWE MKE WA MTU.
 
HIVI MAMA,
ni nani anahitaji KUSAMEHEWA HAPA?????ai miiin nani ni mdhambi hapa KIIMANI?

wote wa2 wadhambi....marehemu na huyo mwanamke...wote walikuwa kwenye ndoa zao lakini wakazini nje ya ndoa zao....
 
mie nimeichukua hii pic nikaizngusha kila upande ku imagine kama ndio ingekuwa mie ndio huyo mwanamama uliefiwa humo hotelini nikakosa pic halic....kwa familia iliyoachwa kwa kweli inackitisha sana tena sana...jana nilijaribu kumcal frnd wangu kumpa pole matokeo yake ni kapokea fone ni kuliaa tu hakuweza kuongea lolote.....yaani Mungu atunusuru jamani, halafu siamini kabisa jinc mzee alivyokuwa descent, loo kweli kila kitu kinawezekana chini ya jua.

si wanasemaga dont jujge the book by its cover Nyamayao mama!!!

simba mwenda pole ndo mla nyama

mzee alikuwa navaa ngozi ya kondoo ndani mbwa mwitu!!!

but all ni all msiba mgumu sana huu, Mungu awape courage na busara wahusika wa pande zote mbili!!
 
mama ziraili unamaanisha mjane aliebaki? kama ndio ooh yeah, naijua familia first born wao ni ma best frnd......huko kwingine naomba niachie hapo mana hapa c tunaomboleza Chriss.....halafu nilikuwa nina hamu ya kuja mcbani kule ili tuonane ile mbaya yake sema mr nae c unajua tena...nilimnunia na kumfungia huduma zote muhimu.

Hahaha! Mama ziraili = Mama mtoa roho za watu a.k.a muuaji!
Hapo kwenye red sijakuelewa msiba gani huo
Hapo kwenye bluu, nenda kaangalie senksi niliyokugongea kuleee. Hahaha! Wewe nawe kumbe hamnazo?
 
Huyo jamaa alikuwa Mgonjwa.

Hii ilimpata Sani Abacha (Nigeria) maana alishughulikiwa na totoz hadi akapatwa mauti.

Good news ni kwamba, KAFA AKIFAIDI.

Halafu kumbe Wachaga sasa mmekuwa kama Wazenji. Wazenji wakisema wanaenda kwenye NGOMA basi huko lazima bibie ampate "Abdallah bin Kichwa Wazi". Naona na Wachaga kumbe hizi mbio za kukimbilia Uchagani eti "wanaenda kuhesabiwa" hakuna lolote ni kwenda kukumbushia Makoloni yao.

Nikiolea huko, hakuna cha kwenda KUHESABIWA.

Anyway, nitowe POLE kwa Wafiwa na ndugu wote wanaohusika na maafa haya. Kujifanya unamcheka huyu jamaa ina maana wewe ni MEREHEMU pia. Vinginevyo itakuwa unamcheka mkunga wakati uzazi ungalipo. Kesho unaweza kusikia ni wewe. Ila kumbuka tu ASIWE MKE WA MTU.

jamani hiyo sio gud news bwana.
 
Hahaha! Mama ziraili = Mama mtoa roho za watu a.k.a muuaji!
Hapo kwenye red sijakuelewa msiba gani huo
Hapo kwenye bluu, nenda kaangalie senksi niliyokugongea kuleee. Hahaha! Wewe nawe kumbe hamnazo?

kwenye blue cmfahamu huyo bali naifahamu familia iliyopata mcba.....we nawe mwepec kusahau kweli, mcba moshi....
 
hahaa Iribini nimekusoma deeply leo!!!! wee una laana kweli

Afu kabatani ka SENKSI hukukaona au? Hahaha! Potabo zina raha zake bana, tuache matani. Manake unakabeba unavotaka. Unakazungusha mizungusho yote. Ukitaka umalizie kabisa unakabeba mpaka bafuni unaenda kukaogesha ukiwa umekabeba, ofkozi kama valuu ilihusika na mchezo unaendelea mumo humo. Thubutu kwa jimama, ukilibeba mara bega limeteguka, msuli umebana...... agrrrrrrrr!
 
kwenye blue cmfahamu huyo bali naifahamu familia iliyopata mcba.....we nawe mwepec kusahau kweli, mcba moshi....

I see! Ulikuwa Ms kumbe? Mbona lingekuwa bonge la kampani! Huyo mumeo bana...... wivu tuuuuu! Hahaha!
 
si wanasemaga dont jujge the book by its cover Nyamayao mama!!!

simba mwenda pole ndo mla nyama

mzee alikuwa navaa ngozi ya kondoo ndani mbwa mwitu!!!

but all ni all msiba mgumu sana huu, Mungu awape courage na busara wahusika wa pande zote mbili!!

mhh dear yaani kuna vitu vingine vipo kama hadithi za akina abunuwac na bulicheka...wacha tu ...
 
jamani mambo mengine hata kufikiria nashindwa, i feel for the kids wa huyo jamaa, hata shuleni watakuwa wanachekwa, they need counselling.Huyo mkewe pia, i can imagine the pain of the betrayal hata sijui kama atamzika mumewe kwa amani, i mean atamsamehe wakati anamzika? namuombea Mungu ampe amani na utulivu asamehe.
Kwa huyo mke wa mtu naye mumewe labda ashamtangulizi mizigo yake kwao, what about their kids, its terrible. Hayo yoe tis, kumi ni huyo alieyetangulia mbele ya haki huku mbele kuna kibao kimeandikwa usizini, hata sijui ndo anaexplain nini kwaa mola wake. mambo mengine unaweza kuomba uwe unaota tu.

hii ndo wanasayansi wanaiita ambigwiti, nategemea kutunga kitabu kuhusiana na hii kesi. afazali kwamba marehemu kafa ghafla bila kuumwa.
 
Afu kabatani ka SENKSI hukukaona au? Hahaha! Potabo zina raha zake bana, tuache matani. Manake unakabeba unavotaka. Unakazungusha mizungusho yote. Ukitaka umalizie kabisa unakabeba mpaka bafuni unaenda kukaogesha ukiwa umekabeba, ofkozi kama valuu ilihusika na mchezo unaendelea mumo humo. Thubutu kwa jimama, ukilibeba mara bega limeteguka, msuli umebana...... agrrrrrrrr!

no comment!!!!!!! hivi we ni shemeji bado si ndio?
 
I see! Ulikuwa Ms kumbe? Mbona lingekuwa bonge la kampani! Huyo mumeo bana...... wivu tuuuuu! Hahaha!

nilikuwa moshi jamani, nikawa nimeshaweka watu humu stand by kwamba nikifika huko wanigee no yako tuwacliane, unajua niliambiwaje? na hizi ajali hapana subiri utaenda kutoa pole tu...can u imagine? cjui nikienda kutoa pole napaa...mweh
 
ndo inakuwaje sasa Goeff!! elaborate if you dont mind kwa manufaa yangu
mama hii kitu kwa thiori tu ningumu!unless YOU APPROVE PRACTIKO!......😀
am waiting
 
nilikuwa moshi jamani, nikawa nimeshaweka watu humu stand by kwamba nikifika huko wanigee no yako tuwacliane, unajua niliambiwaje? na hizi ajali hapana subiri utaenda kutoa pole tu...can u imagine? cjui nikienda kutoa pole napaa...mweh

Kumbe you know them? LOL! Leo tena mbanie access kuwatakia marehemu wa resti in piis!
 
hiyo ndo faida ya uzinzi, sasa mbinguni atafikaje?
 
Back
Top Bottom