MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

Hivi mkuu Yesu akawatokea hapo akawaambia asiyezini au kuwa na dhambi asimame ni wangapi kati ya hao wanaomuhukumu marehemu Lema watasimama???

watu wasitudanganye eti wao ni clean....wapi wewe!!! dunia tuishimo ndo hii hii fulu kuchafuka!!!

afu MC kumbe jirani yangu....sema siwezi kuja maana familia saa hizi hawaamini mtu!!!
Kwa hilo Nitasimama; Proudly!
 
Heshima kwako bht,

Unajua unaweza kushangaa sana msimamo wa waliokuwa wafanyakazi wa General Tyre.Wakati kiwanda kilipokuwa kinaelekea kufa walijitokeza walokole wengi kukiombea kisife.wengi waliamini kwamba kuomba tu bila kuangalia chanzo cha kuyumba kwa kiwanda nini!.

Nilishangaa sana mpaka leo bado wapo wengi wana misimamo mikali,ndio maana wengi pia hawataki kushiriki kumzika MC Lema.

mie bwana hata sielewi, sasa NGONGO we upo mazishini au na wewe umeshindwa kwenda?
 
Hivi mkuu Yesu akawatokea hapo akawaambia asiyezini au kuwa na dhambi asimame ni wangapi kati ya hao wanaomuhukumu marehemu Lema watasimama???

watu wasitudanganye eti wao ni clean....wapi wewe!!! dunia tuishimo ndo hii hii fulu kuchafuka!!!

afu MC kumbe jirani yangu....sema siwezi kuja maana familia saa hizi hawaamini mtu!!!

jirani yako kwa wapi dear, machame au huko arusha...unajua familia ipo kwenye wakati mgumu sana bht ni ngumu sana ku handle hii ctuation, pamoja na maneno ya mjini/kususiwa kama hivyo yaani inaumiza kweli kweli....hivi mhh wacha tu ninyamaze mana.
 
Posti gani? Nikumbushe! Manake samtaimz huwa namtukana invizibo kimakosa. Sasa nawahi kudilit kabla sijala ban!

ile ulorespond baada ya kukuambia twende nyumbani......jana jioni
 
jirani yako kwa wapi dear, machame au huko arusha...unajua familia ipo kwenye wakati mgumu sana bht ni ngumu sana ku handle hii ctuation, pamoja na maneno ya mjini/kususiwa kama hivyo yaani inaumiza kweli kweli....hivi mhh wacha tu ninyamaze mana.

kote nafiti bila fitina, arusha na machame vile vile!!!!!

Mungu aipe hiyo familia ujasiri na hekima!!! its really hard maana hatuongelei kufiwa na mume/baba/kaka tu tunaongelea kifo cha aibu!!! imagine since 2001 they ahve been cheating only to die in a guest house in 2010. Sir God mambo yake bana duh!!!
 
ile ulorespond baada ya kukuambia twende nyumbani......jana jioni

Hahaha! Niliteleza kama Geoff siku ileeee! Nikafanza fasta! Manake name na lokesheni zote zikawa live! Malijendi wangepata faida sana!
 
hahaaaa IRIBINI wewe ni smartie duh!!! Goeff sikuile aliua bendi kabsaaaaaa!!!
 
kote nafiti bila fitina, arusha na machame vile vile!!!!!

Mungu aipe hiyo familia ujasiri na hekima!!! its really hard maana hatuongelei kufiwa na mume/baba/kaka tu tunaongelea kifo cha aibu!!! imagine since 2001 they ahve been cheating only to die in a guest house in 2010. Sir God mambo yake bana duh!!!

lakini unajua bht ukikaa vizuri ukifikiria hii ishu yaani ni kweli mzee wetu kafa kifo cha aibu sana, majonzi zaidi ni hapo watu wanavyoususia mcba sasa, uwii na huyu mzee anavyojulikana sasa ndio balaa lenyewe, jana nachart na frnds zangu wananipa habari za mcba nimeckitika sana...then Lily ana mimba kubwa tu anakaribia kujifungua Mungu ampe nguvu jamani.
 
mie bwana hata sielewi, sasa NGONGO we upo mazishini au na wewe umeshindwa kwenda?

Heshima kwako Nyamayao.

Tangu nimeondoka kwenye ajira ya mashirika ya umma naudhuria mazishi siku za jumamosi na jumapili tu,nilijua tangu mwanzo ningeshindwa kuhudhuria.Nilichokuwa nakifanya ni kutoa taarifa na kuhamasisha wenzangu washiriki kumsindikiza mwenzao.

Anyway ninauwakilishi mzito huku nitawajulisha kila kilichofanyika,tuwaombee wafanikishe jambo hili zito na gumu kwa amani.
 
lakini unajua bht ukikaa vizuri ukifikiria hii ishu yaani ni kweli mzee wetu kafa kifo cha aibu sana, majonzi zaidi ni hapo watu wanavyoususia mcba sasa, uwii na huyu mzee anavyojulikana sasa ndio balaa lenyewe, jana nachart na frnds zangu wananipa habari za mcba nimeckitika sana...then Lily ana mimba kubwa tu anakaribia kujifungua Mungu ampe nguvu jamani.
Lily ndo wify au?? hivi watu wanasusia mcba kwa misingi ipi mbona sielewi??? kwamba wakienda na wao wataonekana wazinifu au wamemsapoti marehemu Lema??? hebu nisaidieni hapo plz!!!
 
Lily ni mtoto wa Marehemu.
 
Lily ndo wify au?? hivi watu wanasusia mcba kwa misingi ipi mbona sielewi??? kwamba wakienda na wao wataonekana wazinifu au wamemsapoti marehemu Lema??? hebu nisaidieni hapo plz!!!

Wafitini na wanafiki wakubwa hao! Wanajifanya wao ni watu wema sana! Kwa akili zao wanafikiri wanamkomoa marehemu MC wa watu, kumbe wanawapa wafiwa jonzi jingine. Wafiwa wanatakiwa kufarijiwa kwa pigo walilopata. Wamempoteza baba, na wamekumbwa na msiba wa aibu. Walipaswa kufarijiwa si kutengwa.

Nyambaf zao wanaosusia! Mungu na awalaani! Na wao wafe kifo cha aibu kuliko MC wetu!
 
you are a changed man nakwambia, nimekugongea ur favorite batani na ile ya pale juu naenda kuigonge vile vile!!!!!
 
Samtaimz nakuwaga na mabusara, watu hawanijuagi tu! Hahaha!

Inakera bana! Watu wana mawazo finyu na potofu! Aliyekufa ameshakufa! Kabaki na Mola wake kusubiri hukumu yake! Sasa mijinga mingine inaamini katika maiti! Eti inaikomoa maiti!!! Eti inasusia maiti! Sasa hii mijitu inataka azikwe na mkewe na watoto? Wao ndio waadhibiwe kwa kosa la mme/baba yao? Wanafiki wakubwa! Pambafu zao!
 
Heshima kwako Nyamayao.

Tangu nimeondoka kwenye ajira ya mashirika ya umma naudhuria mazishi siku za jumamosi na jumapili tu,nilijua tangu mwanzo ningeshindwa kuhudhuria.Nilichokuwa nakifanya ni kutoa taarifa na kuhamasisha wenzangu washiriki kumsindikiza mwenzao.

Anyway ninauwakilishi mzito huku nitawajulisha kila kilichofanyika,tuwaombee wafanikishe jambo hili zito na gumu kwa amani.

mie cjui ni balaa gani jamani hili, nilikuwa nachart na frnd nae cjui cm imeisha charge ghafla au vipi nashangaa hayupo hewani tena, NGONGO naomba uwe unanipa yanayojiri bac na wewe ukifahamishwa, kweli famili imechoka jamani wamzke tu japo wapumzike kidogo na purukushani.
 
OMG!!!!!!! mumewe na watu kama Nyamayao (close friends) mtakuwa na kazi ya ziada!!! namuonea huruma huyo lily!!!

nakwambia yaani natamani ningeweza kuhudhuria, yaani jamani maisha haya mungu mwenyewe anajua.
 
Back
Top Bottom