mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,969
Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi Mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako. Wachezaji wenzako wa Ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana.
Sio kwamba wa Masaki hawafi, ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu. Mbagala ni ‘ushenzini’
Watu wamekuja msibani hakuna parking, hakuna sehemu ya kufunga hema
Kama aligoma kuhama ungehamisha majirani ukaboresha makazi yake hapohapo